Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Kwa nn mkuuWanasiasa hawatakuelewa.
Ndio ipi hiyo mkuuBora wagamga wa kienyeji kuliko dini ya magaidi.
Ikitokea nikashika mpini, hao watu watapotea.Habar wanajf. Kutokana na matukio yanaoendelea katika nchi yetu hasa Kanda ya ziwa, na kati imefanya niandike huu Uzi, kwamba Hawa watu sasa imekuwa shida. Kwani wanachangia uvunjifu wa amana kwa kuua watu wazima na watoto wasio na hatia maskini ya Mungu, ni kuwa tiba asili ni utamaduni wetu lakini sio hivyo wanavyofanya hao wanaojiita wataalamu wa tiba asili kwa kutumia viungo vya binadamu kutibu. Aidha serikali na wananchi tupige vita waganga uchwara katika jamii na tuwakatae na kuwaondoa katika jamii kwani wanachochea mauaji katika jamii yetu. Nafkiri Singida wameelewa na Dodoma. Nawasilisha.
Hakika mkuu tumefika pabaya Hadi watoto wanauwawa kisa waoIkitokea nikashika mpini, hao watu watapotea.
Tatizo lipo kwa Hao wananchi wanaoishi mazingira ya jirani na waganga wenye ramli chonganishi na sio serikali. Wanakijiji wanaoishi na waganga wa kienyeji hawatoi taarifa kwenye ofisi zao za vijiji juu ya uwepo wa Hao jamaa kwenye vijiji vyao. Baada ya ndugu zao na watoto kupotea katika mazingira yasiyoeleweka ndipo wanaanza kutoa taarifa kwa polisi.Habar wanajf.
Kutokana na matukio yanaoendelea katika nchi yetu hasa Kanda ya Ziwa, na kati imefanya niandike huu Uzi, kwamba Hawa watu sasa imekuwa shida.
Kwani wanachangia uvunjifu wa amana kwa kuua watu wazima na watoto wasio na hatia maskini ya Mungu, ni kuwa tiba asili ni utamaduni wetu lakini sio hivyo wanavyofanya hao wanaojiita wataalamu wa tiba asili kwa kutumia viungo vya binadamu kutibu.
Aidha serikali na wananchi tupige vita waganga uchwara katika jamii na tuwakatae na kuwaondoa katika jamii kwani wanachochea mauaji katika jamii yetu.
Nafikiri Singida wameelewa na Dodoma. Nawasilisha.
KabisaWanasiasa hawatakuelewa.
Kwa kweli tunapaswa kubadilikaTatizo lipo kwa Hao wananchi wanaoishi mazingira ya jirani na waganga wenye ramli chonganishi na sio serikali. Wanakijiji wanaoishi na waganga wa kienyeji hawatoi taarifa kwenye ofisi zao za vijiji juu ya uwepo wa Hao jamaa kwenye vijiji vyao. Baada ya ndugu zao na watoto kupotea katika mazingira yasiyoeleweka ndipo wanaanza kutoa taarifa kwa polisi.
SubhanAllah 🙏Bora wagamga wa kienyeji kuliko dini ya magaidi.
Hakuna chenye ubora hapo. Wote ni wale wale tofauti Yao ni majina tuBora wagamga wa kienyeji kuliko dini ya magaidi.
Kanda ya ziwa kunatisha kwa ushirikina, kwanini 🙄Habar wanajf.