GE2025 Waganga wa Jadi Tabora watambika kuombea Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Umoja wa Wataalamu wa Tiba za asili, pamoja na viongozi wa mila ambao ni Machifu, Watemi na Watwale kutoka mkoa wa Tabora wamekusanyika katika eneo la matambiko ya asili lililopo Izimbili kata ya Kalunde Manispaa ya Tabora na kufanya matambiko ya kimila wakiombea uchaguzi mkuu wa oktoba 29 mwaka, huu ufanyike kwa amani bila machafuko huku wakiwakemea watu wenye nia ovu ya kulitia doa Taifa.

Haya.
 
CCM ni chama cha wachawi. Na mgombea anawategemea wachawi! Nchi ipo katika laana kwa maana inatawaliwa na wachawi.

Wana wa Mungu tuzidi kumlilia Mungu ili Taifa letu lisiwe nyumba ya shetani.
 
Hivi kweli tuna serikali? Unaonesha kabisa serikali inaenda kwa waganga kuloga wananchi kwajili ya uchaguzi? Aiseeee
 
Siku za leo waganga/wachawi wameamua kufanya mambo hadharani, watashindwa vibaya sana...nchi imekwama kwenye mambo mengi kumbe kwa upuuzi huu!?
 
Back
Top Bottom