Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Haya.Umoja wa Wataalamu wa Tiba za asili, pamoja na viongozi wa mila ambao ni Machifu, Watemi na Watwale kutoka mkoa wa Tabora wamekusanyika katika eneo la matambiko ya asili lililopo Izimbili kata ya Kalunde Manispaa ya Tabora na kufanya matambiko ya kimila wakiombea uchaguzi mkuu wa oktoba 29 mwaka, huu ufanyike kwa amani bila machafuko huku wakiwakemea watu wenye nia ovu ya kulitia doa Taifa.
Uchawi na umasikini ni damu damuHivi hawawezi kutambika umaskini uishe TZ
Hii ngoma wameshindwa Rohoni wameamua kuja mwilini wapuuziWASHINDWE KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI....damu waliyomwaga NAIHARIBU KWA DAMU YA YESU.
Ndo uone haya mambo ndo yametuvhelewesha km nchiHivi hawawezi kutambika umaskini uishe TZ
Life is spiritualHii ngoma wameshindwa Rohoni wameamua kuja mwilini wapuuzi