Habari wadau.
Binafsi najiuliza, kwanini waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kutoa huduma zao huku ni matapeli?
Mwalimu kauliwa Musoma na kuibiwa milion 9 na waganga wa kienyeji. Mwaka jana Moshi binti akishirikiana na waganga wa kienyeji walimuua mama nesi mstaafu baada ya kumtapeli mafao zaidi ya milioni 60.
Albino wanauwawa sana kwa order za waganga. Wastaafu wengi wanapigwa mafao yao na waganga wa kienyeji kwa kudanganywa wanatibiwa ama kuzindikiwa mafao yao.
Why serikali haiwapigi ban waganga wa kienyeji?