Hao watu wa serikalini wapo kwenye Madaraka Kwa nguvu za waganga wa kienyeji.Habari wadau.
Binafsi najiuliza waganga wa kienyeji kwa nini wanaruhusiwa kutoa huduma zao huku ni matapeli
Mwalimu kauliwa musoma na kuibiwa milion 9 na waganga wa kienyeji
Mwaka jana moshi binti akishirikiana na waganga wa kienyeji walimuua mama nesi mstaafu baada ya kumtapeli mafao zaidi ya milioni 60
Albino wanauwawa sana kwa oda za waganga
Wastaafu wengi wanapigwa mafao yao na waganga wa kienyeji kwa kufanganywa wanatibiwa ama kuzindikwa
Why serikali haiwapigi ban waganga wa kienyeji ?
Yaani upige ban na kipindi cha uchaguzi itakuwaje?🤔🤔🤔Habari wadau.
Binafsi najiuliza waganga wa kienyeji kwa nini wanaruhusiwa kutoa huduma zao huku ni matapeli
Mwalimu kauliwa musoma na kuibiwa milion 9 na waganga wa kienyeji
Mwaka jana moshi binti akishirikiana na waganga wa kienyeji walimuua mama nesi mstaafu baada ya kumtapeli mafao zaidi ya milioni 60
Albino wanauwawa sana kwa oda za waganga
Wastaafu wengi wanapigwa mafao yao na waganga wa kienyeji kwa kudanganywa wanatibiwa ama kuzindikiwa mafao yao
Why serikali haiwapigi ban waganga wa kienyeji ?
Ulitokana na nnHao watu wa serikalini wapo kwenye Madaraka Kwa nguvu za waganga wa kienyeji.
Wala Hujui hata ulichokiandika, ikulu ya magogoni ilikuwa inalindwa na majini ya Sheikh Yahya kumkinga Kikwete asidhurike.
Unajuwq uswahiba wa Magufuli na Makonda ulitokana na nini?