a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
1.wote mganga wa kienyeji na mchawi wanapokea/wanatumia nguvu za ufalme wa giza.
2.wote mganga wa kienyeji na mchawi wanaoeleka sadaka zao,kafara,dhabifu mbele ya madhabahu moja ya ufalme wa giza(lucifer gerofekale)
3.miungu yao wote ni mashetwaini,mizimu,majini,malepo,mkuu wa anga,mkuu wa giza,wafalme wa giza,wenye mamlaka wa giza,joka kuu leweyathani joka mamba wa baharini,wakuu wa giza wa ardhi i na baharini na angani
Ukisikia hawa washirikina wanaomba mungu ili wafanye ushirikina wao na mungu anawasaidia ujue huyo siyo MUNGU WA KWELI bali ni mungu mwenye majina 99
4)wote ni waongo kama baba yao mungu wao alivyokuwa muongo ,wote wana lengo la kuiba,kuharibu,na kuua kuchinja maisha yako ya kiroho,kukutesa kukufanya mateka,mtumwa wao na kuingiza roho ya mauti.
5) Wote dawa yao na kiboko yao ni JINA LA YESU...wanashindwa vibaya sana kuwafanyia ushirikina watu walio na YESU kweli,simaanishi waenda kanisani,au wakristo wote,ila WALE WALIOMPOKEA YESU wakaikoka kweli kweli.
Wote wachawi na waganga wa kienyeji wanaogopa sana JINA LA YESU.Maombi ya mlokole wa kwrli hata kama ni mtoto mdogo aliyempilea Yesu kwelikweli
maombi ya watu wa YESU wakiomba kwa jina la Yesu.
View: https://youtu.be/bSQH-ekpCLg?si=iIvCbtzYRpmHYyHz
View: https://youtu.be/KeO30bLs5s8?si=kijvqMOnXl2TP2v3
View: https://youtu.be/cdq-6s_Gm3Q?si=WR22Nm9KabN_MHoY
View: https://youtu.be/4LVycqArAe0?si=5rmWimMiFbaLanYS
View: https://youtu.be/pth_3CWLPIE?si=j0vg1f4peLTdD_Ar
View: https://youtu.be/sL7iiXoNc_A?si=8zxC185ieEvtkDn9
View: https://youtu.be/U-cTIYGURCs?si=x9051ofKgNmxwq1n
View: https://youtu.be/yK1UInFWwfk?si=wUZdEBEaW6yodJ6G