a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
WOTE mganga wa kienyeji na mchawi wanatoa nguvu zao KUZIMU.mtu aliyelogwa aliyefanyiwa ushirikina aliyetupiwa mapepo na maroho ya mauti na uharibifu...MGONJWA ALIYELOGWA na mchawi.
Ukimpeleka kwa mganga ni sawa na na KESI YA NYANI unaipeleka ikapatiwe ufumbuzi na NGEDERE.
yani ni sawa na SERIKALI MOJA (wachawi na waganga wa kienyeji wote ni SERIKALI MOJA HIYO HIYO na bosi wao ni mmoja huyo huyo lucifer na madhabahu yao ni mona hiyo hiyo lucifergerofokale ,kafara sadaka za mganga wa kienyeji na za wachawi zite zinaenda HAZINA KUU ya SERIKALI BOT MOJA ..madhabahu kuu ya SHETANI.
A nayewapa nguvu waganga wa kienyeji na wachawi ni huyo huyo LEWEYATHANI joka kuu,Lucifer.
YANI NI SAWA NA akari POLISI NA ASKARI FFU AU TRAFIKI wote ni ma askari sema vitengo tofauti
NI sawa na SERIKALI hiyo hiyo ifanye kosa halafu ITENGENEZO TUME KUJICHUNGUZa yenyewe.
Kuna wakato mganga wa kienyeji mmoja na mchawi au na mganga mwingine wanawasiliana ndio maana ukishaanza tu kwenda kwa waganga wa kienyeji UTAJIKUTA UMEZUNGUKA KWA KILA MGANGA.

Huna unachokijua, mliokulia kinondoni mnajifanya kuyajua sana maisha
HITIMISHO
MGANGA WA KIENYEJI NA MCHAWI WOTE NI KITU KIMOJA ,mganga wa kienyeji ni mchawi pia wote wanaloga,wote wanatumikia UFALME MMOJA WA GIZA.
Mganga wa kienyeji na mchawi wote ni binafamu kama mimi na wewe.
Kinachompa nguvu ya yeye kufanya ushirikina ni mapepo,mizimu,majini na madhabahu yake ya giza wanayoipelekea kafara kwa msaada wa hayo maroho.
"Zaidi ya yote, malaika hawa kwa kuwa walikuwa na ujuzi, wakawafundisha wanadamu, kubuni silaha za chuma, kufanya uharibifu, wengine wakawafundisha wanadamu kufanya uchawi, na wengine kusoma nyota za mbinguni. Pamoja na hayo watoto wao waliowazaa wakawa wakatili kupita kiasi, ndio wale wanefili, wakawa wanaharibu kila kitu ikiwemo mimea, wanyama, mpaka wanadamu."
(kitabu cha HENOKO)
Bila msaada wa haya mapepo binadamu hawezi kufanya ushirikina ,ndio haya mapepo,majini,mizimu yanayowaotesha ndoto usiku na kuwapa mafunuo ya ushirikina na kuwatabiria watu mambo yao,
ndiyo hayo mapepo yanapowapanda huwafundisha ushirikina na kuagua kupiga ramli.
MGANGA BILA jini au tu vimizimu hana nguvu,sawa na mchawi .
Nembo ya Programu ya Biblia
Choose your language
Mdo 16:16-34
Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja aliyekuwa na pepo wa uaguzi**akatukuta, aliyewapatia bwana zake **faida nyingi kwa kuagua. Akamfuata Paulo na sisi akipiga kelele, akisema, Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye juu, wenye kuwahubiria njia ya wokovu. Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo akasikitika, akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile. Basi bwana zake walipoona ya kuwa tumaini la faida yao limewapotea, wakawakamata Paulo na Sila, wakawakokota mpaka sokoni mbele ya wakuu wa mji; wakawachukua kwa makadhi, wakasema, Watu hawa wanachafua sana mji wetu ni sawa na kusema wakawaita MAKAFIRI wenzao kwa vile wanayafukuza MAJINI/mapepo ambayo wenzetu wanasema ni majini/mapepo wazuri kwao.