KERO Waganga wa Kienyeji Simiyu tumechoka na michango ya Mwenge

KERO Waganga wa Kienyeji Simiyu tumechoka na michango ya Mwenge

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hhhhhhhhh huyu mganga feki kwamba huna uwezo wa kuwazubaisha ikaonekqna umeshatoa mchango?
 
Hizo wanakula halmashauri hapohapo na ndio zinazogharamia wakeshaji wanaolombana kwa condom za bure zile za zana
 
Nyie waganga mngekuwa waganga kweli mngeiloga hiyo serikali haram lakini kwa sababu ni wababaishaji.
 
Back
Top Bottom