Waganga wa kienyeji wanavyolala na wanawake kwa kigezo cha matibabu

Waganga wa kienyeji wanavyolala na wanawake kwa kigezo cha matibabu

Hawakukamatwa hao matapeli wa mchongo?
Aliitwa na huyo Mtoto wa Kigogo na waganga wawili ilikuwa 27.12.2015 au 2016 wamuua wamkatumbukiza huko shimoni... Yule Mama alitafutwa almost mwezi...

Kosa likawa yule.Mganga aishie Uchira Kilimanjaro alichukua Simu ya Marehemu.... sasa alikuwa na Kidemu chake kikawa kinamuomba awake Line NDIPO WALIPOKAMATWA WOOOOTE.
 
Ila watu Wana roho ngumu hatari

Hiyo Maiti si waliikuta imeshaanza kuoza kabisa na Wadudu wanatoka? 🙌

Hatari sana
 
Habari zenu humu,
Kumekuwa na wimbi la matukio ya waganga wa kienyeji kutembea na wagonjwa wao kila wanapokwenda kupata huduma ya matibabu kwa waganga hao.

Wiki moja iliyopita kuna mtu na wifi yake walikuja kuripoti tatizo hilo wakisema kuwa mganga amenanii nao eti kama njia ya kuwapatia matibabu, dada huyo ambaye ni mjamzito wa miezi 7 alikwenda kwa mganga huyo eti akamfungue kutokana na kufungwa kishirikina na majirani zake asijifungue miezi 9 ikifika ili afe.

Kwa hiyo mganga akamwambia kuna dawa atampaka lakini kwa kumwingiza dyudyu huko, kwa hiyo mganga akaduu nae.

Wifi yake nae ambae alikuwa na tatizo la kutopata mtoto aliambiwa na mganga huyo kuwa atapewa dawa ya kupaka kunako huko lakini kwa kusaidiwa na mganga huyo kuingiza kwa dyudyu yake. Kuja kutaharuki mganga kawapitia wote mtu na wifi ake ndani ya siku moja.

Sasa ndugu zangu watu hao wanataka kumfungulia mashtaka mganga huyo, je kuna nafasi ya kushinda kesi hii dhidi ya mganga huyo??

Kuna haja ya kujifunza uganga wa kienyeji manake hao akina dada wenyewe Mashaalah,manake mmhh.....
Safi sana.

Akili zinawarudi baada ya kuwekewa dawa na dyudyu.

Wakawaambie waume zao wafungue mashtaka
 
Safi sana.

Akili zinawarudi baada ya kuwekewa dawa na dyudyu.

Wakawaambie waume zao wafungue mashtaka
Ndiyo ujue kwanini makanisani na Kwa Waganga wanaoendaga mara kwa mara ni Wanawake.

Mambo mengi wanayafanya kwa hisia zaidi pasipo kuyafikiria
 
Back
Top Bottom