Waganga wa siku hizi wamekuwa wahuni

Waganga wa siku hizi wamekuwa wahuni

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Zamani ukienda kwa mganga masharti uje na mbuzi mweupe au jogoo mweusi.

Sasa hivi wamekuwa na mbinu geni.
Nimesogezewa hii habari leo Kuna huyu mganga huko Arusha anaitwa Minja. Sasa wee jiulize tu tangu lini mchaga akawa mganga.

Yani Minja anatatua wateja marynder kama masharti ya matibabu. Wana wametatuliwa marynder kichiz.

Siyo wanaume siyo wake za watu. Ukienda anaanza kulichoma bisu lake kwenye mkaa hadi linakuwa la njano na kupaka dawa nakukuambia usijali analisimika kimiani. Sasa utaogopa basi anakuambia kama unaona iyo haifai unaogopa itabidi akugonge. Basi anapaka dawa kwenye gegedo na kugonga waja.

Kuna mdada mmoja naye kafanyiwa hivyo eti alienda kumroga jamaa yake dereva wa tour ili amfunge awe anampenda yeye tu. Akapewa hayo masharti. Dah akakataa bisu la moto lisisimikwe badala yake akakubali tu mganga uchwara Minja atatue.

Hii ni kweli kulingana na aliyenisumulia wengine watakuja kuthibisha.
 
Haha mganga anaitwa Minja?? Hapo lazima upigwe mpaka akili ikukae sawa

Ila mambo ya waganga bana, Kuna mahali nilishawahi kukaa huo mji sio mkubwa sana hivo watu wengi walikua wanajuana, kulikua na ma don wanne Yani hakuna ambaye alikua hawajui, wake zao wakaanzisha kama kakikundi kao wakawa marafiki kupindukia wake za matajiri Kila mahali wanafatana

Kuna mmoja wa wale wanawake alikua mkristo baada ya mume wake kufariki akaokoka, siku Moja akawa anatoa ushuhuda
Kua yeye na wale wenzake watatu wake za ma don walienda kwa mganga Burundi ili kuwatuliza waume zao, dah mganga akawaambia sharti ajipake dawa kwenye uume wake awaingilie wote ili dawa ishike, watatu wakakubali ikiwemo huyo mtoa ushuhuda ,mmoja wa wale wamama alikua mwarabu flani ndo akakataa

Dah roho iliniuma kishenzi maana Yale mamama yalikua mashangazi kweli yaani meupe Tako shantashanta!!! Nikawa napiga picha mganga aliyapangia siku za kuja mmoja mmoja anajipigia Tako saafi namla ile na mpunga anapewa,Nikasema Hawa wajinga Kuna muda wanafaidi.
 
Haha mganga anaitwa Minja?? Hapo lazima upigwe mpaka akili ikukae sawa

Ila mambo ya waganga bana, Kuna mahali nilishawahi kukaa huo mji sio mkubwa sana hivo watu wengi walikua wanajuana, kulikua na ma don wanne Yani hakuna ambaye alikua hawajui...
Wajinga ndo waliwao
 
Back
Top Bottom