Wema atumie bongo yake kwenye hilo la kutibiwa na waganga wanaume hapa Afrika ya mashariki.Baadhi ya hawa waganga ni tamaa tu za kiume. Nina uhakika moja ya dawa atakayoambiwa Wema ni kupokea dushe la mganga lililopakwa 'dawa'
Be on your alert Wema!
Wasiwasi asipate mtoto wa kwenye kibuyu (nyoka)
Sidhani kama Wema anataka kutestiwa. Anataka tiba ambayo itampa uwezo wa kuzaa na mwanaume of her choice!akyanani nilitaka kusema hiki kitu........mwache wakamtesti kwanza
Sidhani kama Wema anataka kutestiwa. Anataka tiba ambayo itampa uwezo wa kuzaa na mwanaume of her choice!
Huo ndio mtihani mkubwa wa huyo bibie.Akikubali kutestiwa, mkengekwani kuna wanaopendaga kutestiwa?? si ni masharti ya dawa ndg, ndo wanavyowadanganyaga wanaingia mkenge