mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Wema atumie bongo yake kwenye hilo la kutibiwa na waganga wanaume hapa Afrika ya mashariki.Baadhi ya hawa waganga ni tamaa tu za kiume. Nina uhakika moja ya dawa atakayoambiwa Wema ni kupokea dushe la mganga lililopakwa 'dawa'
Be on your alert Wema!
akyanani nilitaka kusema hiki kitu........mwache wakamtesti kwanza