Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Waganga wa Tiba asili waomba kutohusishwa na matukio ya ukatili yanayotokea kwenye jamii kwani wao hawahusiki na kuwatuma watu wafanye ukatili badala yake wameomba kupewa thamani kama ambavyo madaktari wa Hospitalini wanavyothaminiwa kwani dawa zote za hospitali zilitokana na dawa za asili zikaboreshwa ndio zikatumika Hospitali.
Pia soma:
~ Kuelekea 2025 - Matukio ya watu kupotea na waganga kuhusishwa na vifo vyao ajenda ya kuisafisha serikali na polisi kwenye tuhuma hizo?
~ Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Wamesema vitendo vingi wamekuwa wakitajwa lakini sio kweli kama wanatumika isipokuwa watu wamekosa utu ndio maana wanatekeleza matukio hayo.