Malkia Elizabeth II atafanyiwa mazishi ya kiserikali ambayo yatafanyika leo Septemba 19, 2022 katika eneo la Westminster Abbey, jijini London.
Mchana wa leo, Jeneza la Malkia Elizabeth II litasafiri hadi Windsor Castle kwa ibada ya mazishi na kisha atazikwa katika mazishi ya faragha.
Rais Samia S. Hassan ni kati ya viongozi 500 waliopewa mwaliko wa kuhudhuria mazishi ya Mtawala huyo wa muda mrefu katika historia ya Ufalme wa Uingereza.
Huyo wanamhifadhi tu hawamziki. Kuzikwa ni pale mwili unakutana na udongo either jeneza lianze kubunguliwa then ufuate wewe. Acha wadudu wakukule kama ulivyokulaga na wewe.
Mazishi ya kibinafsi. Mnawanyima msosi minyoo ya kwenye udongo