Wageni huweza kuungana kuwakabili wenyeji walioparanganyika na kuwashinda

Na hii inakuja Kwa kasi sana waunguja na wapemba wanapewa maeneo ipo siku Hawa kenge tutawafurusha vibaya sana
kaka ni ngumu maana tayar tumeshazaana na nyinyi mm nna familia kamili huku na nimekuja kama ni mzalendo wa nchi yangu chuki sio kikwazo ,,karibu tanga wapemba tunjazana huku
 
Na kweli Tanga mmejaa sana na mnavusha malori na malori kupeleka vyakula Pemba, usihofu maandishi ni vidole tu na michezo ya fikra
 
Back
Top Bottom