Wageni kumiliki nyumba nchini

Wageni kumiliki nyumba nchini

DarProperty Tz

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
168
Reaction score
29
Hivi karibuni Raisi mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alisema serikali inafikiria kupitia upya sheria ya umiliki wa mali zisizohamishika hasa zinazoweka vizuizi kwa wageni kununua nyumba nchini.
Chanzo; The Citizen Newspaper 9/10/2015

Unadhani hatua hii inamatokeo gani kiuchumi na kijamii?

N.B. Baadhi ya maoni yatawekwa kwenye toleo lijalo la The Darproperty Magazine.
 
Back
Top Bottom