Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kijana katoa wito kwamba wageni wajichunguze nia ya ujio wao JF. Wale wenye nia mbaya ndio mikela hawataki, ila wale wasi wa roho anawakaribisha. Kijana leo bnaona amekuwa mkali sana, sijui ndio changamoto za kwenye ndoa?
Je mnakuja kuimarisha hii nyumba au nyie ni wanafiki na vizabizabina mlio tumwa kuiharibu na kuivunja hii nyumba?
Kabla hujaingia humu ndani jiulize dhamira yako kama wewe ni mwema au mfitini.
Kama umekuja kwa mabaya, kwa kutumwa na kundi fulani au chama fulani hapa hapakufai.
Issue si wazamani au WAPYA...............NI DHAMIRA YA MHUSIKA.............. hili neno wapya/wa zamani limetumika kuonyesha wanaojiunga sasa wengine WAMENNAPE NNAUYELIWAnimeipenda hiyo lakini fafanua zaidi,je mnapenda kuendelea kubakia nyie wenyewe wa zamani tuu???
hapo kuna kitu nimekisoma!!!!!!
Je mnakuja kuimarisha hii nyumba au nyie ni wanafiki na vizabizabina mlio tumwa kuiharibu na kuivunja hii nyumba?
Kabla hujaingia humu ndani jiulize dhamira yako kama wewe ni mwema au mfitini.
Kama umekuja kwa mabaya, kwa kutumwa na kundi fulani au chama fulani hapa hapakufai.
Karibu!Hi mnipokee jamani
Hi mnipokee jamani