A
Anonymous
Guest
Watu waliofanya kazi Zanzibar na wakamaliza mkataba wanaweza kunielewa na kutoa ushuhuda.
Wakati wa kufuatilia mafao unaambiwa uwe umechangia miezi 18 bila hivyo hela hupati hadi ufikishe umri wa miaka 50, sisi tunaokaa Bara tukiwambia watuunganishe na mfuko wa NSSF au PSSSF wanakataa.
Tunajiuliza kwa nini wanakataa wakati hatuna tunachobaki kukifanya Zanzibar, inamaan tuondoke kisha turudi tukiwa na miaka 50?
Tunaomba kama inawezekana hii Sheria itumike kwa Wazanzibar ila sisi ambao hatuishi huko inapofikia kikomo cha kazi ukipewa barua ya mwajiri wako upewe stahiki zako uondoke ukiwa umemalizana nao.
Ufafanuzi wa Mamlaka husika ~ ZSSF: Mwanachama wa ZSSF aliyechangia chini ya miezi 18 anastahili kupata mafao