CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 950 Jun 15, 2013 #1 Wageni wa siku hizi wazuri sana,si wasumbufu kama wazamani. Wakifika kwako hawaulizi chai,juice,soda wala maji ya kunywa, Kitu cha kwanza wakifika nyumbani kwako wanauliza 'UNA CHAJI YA PINI NDOGO?'
Wageni wa siku hizi wazuri sana,si wasumbufu kama wazamani. Wakifika kwako hawaulizi chai,juice,soda wala maji ya kunywa, Kitu cha kwanza wakifika nyumbani kwako wanauliza 'UNA CHAJI YA PINI NDOGO?'
neverthatserious Senior Member Joined Jun 1, 2012 Posts 106 Reaction score 13 Jun 15, 2013 #2 ha ha ha ha ha...hyo kweli aseee tena mmoja katoka kwetu jana,ile kufka tu et anasema jamani kuna chaj ya pini ndogo apo? Ha ha ha
ha ha ha ha ha...hyo kweli aseee tena mmoja katoka kwetu jana,ile kufka tu et anasema jamani kuna chaj ya pini ndogo apo? Ha ha ha