Mkuu,Mimi they have to obey with my principles mtu ambaye ninaweza kumsikiliza ni yule ambaye labda ana allergy au mtoto basi,wengine twende kazini kama hawezi basi ajihudumie kwa uwezo wake.
Mkuu,
do, wewe nadhani umedhibiti haya mambo!
Lakini hii sifa ya ukarimu wa watanzania huoni unai'defy?
Lakini mbona kuna msemo kwamba mgeni ndani ni BARAKA?
Hii nayo ikoje?
ooops kuna wageni wengine ukipika hiki hatumii,ukifanya hivi hapendi mradi anakuwekea masharti ndani ya nyumba yako mwenyewe ..pazuri hapo ...
ooops kuna wageni wengine ukipika hiki hatumii,ukifanya hivi hapendi mradi anakuwekea masharti ndani ya nyumba yako mwenyewe ..pazuri hapo ...
Hao watanifanya niwe na attitude mbaya sana aisee. Kwenye msosi nitaelewa kwa sababi si watu wote hula vyakula vyote. Lakini tunapoanza kuwekeana masharti...ooh no...nitakutimua.
mbaya zaidi awe ni wifi au shemeji, ukifanya kinyume na anvotaka akitoka hapo ujue ukweni utaeleweka vibaya.
hujaniwekea masharti nuymbani kwangu bado loh!! utachapa mwendo ASAP!!!
SHEMEJI TENA UKIJA KWANGU KEEP THIS IN MIND!!!
Shem si unajua nauguza, wikend yetu haikiwa njema sana lakini leo hatujambo.Hey shem...how was your weekend? I thought about you and wanted to call you but I decided not to....
Shem kwako ni kwangu na kwangu ni kwako.....
EEH!i am still in vain!cant connect'em dots lolz!Hey shem...how was your weekend? I thought about you and wanted to call you but I decided not to....
Shem kwako ni kwangu na kwangu ni kwako.....
ni sawa shem lakini kuwe na mipaka angalau jamani maana sasa ntatofautishaje wewe na Bala!!!
EEH!i am still in vain!cant connect'em dots lolz!