JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
swala la mwanamke kupigwa kwenye mahusiano mnalichukuliaje
:focus:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swala la mwanamke kupigwa kwenye mahusiano mnalichukuliaje
hamjamboo?
Amina naiman mmeitika ila mim nawakaribisha wagen wote ila mkitoka hapa jaman kuna kijukwaa chetu kile cha chitchat tafadhalin mpite pale mkutane na wanamember wa pale natumai mtaenjoy nyie na roho zenu mim naitwa beibe nasty najua mshaanza jiuliza nasty eeeh ila ndo jina langu hapa ni shemeji wa eric b52 n dada wa mentor na ni mke wa judgement na ni shostito mkubwa wa charming na ni nightmare kwa junior cux. Karibun sana
mi cjaelewa mmenichanganya!