Waghna walaani nando wa tanzania kwa kuzini na demu wao (selly) ndani ya bba ...

Waghna walaani nando wa tanzania kwa kuzini na demu wao (selly) ndani ya bba ...

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496

Wiki iliyopita wapenzi Nando wa Tanzania na Selly wa Ghana waliucheza ule mchezo wa kikubwa katika Big Brother ‘The Chase’inayoendelea, na inasemekana baada ya Ghana na Afrika kwa ujumla kushuhudia mechi hiyo ya kirafiki watu wa karibu na mpenzi wa Selly wamemshauri ampige kibuti.


Wote tunafahamu kwamba washiriki wote wa BBA wana maisha yao nje ya Big Brother na inawezekana kila mmoja anamahusiano huko alikotoka, lakini mission iliyowapeleka BBA ‘The Chase’ ni kushinda $300,000 inayomsubiri kinara mmoja, na ili kupenya njia nyembamba za kuufikia ushindi kila mmoja anajitahidi kufumba macho na kujisahaulisha kama camera ziko on ili aweze ku accomplish mission hiyo bila kujali njia anazotumia.


Baada ya video clip ya wapenzi wa BBA The chase Nando na Selly wakifanya mapenzi kusambaa ,baadhi ya watu wa karibu na boyfriend wa Selly wa Ghana wametoa maoni yao juu ya kitendo hicho cha ‘aibu’.


Steven Fiawoo maarufu nchini Ghana kama Praye Tiatia ndiye boyfriend wa Selly, na ni msanii maarufu nchini humo.


praye.jpg
Praye na Selly

Kwa mujibu wa mtandao wa News One wa Ghana, CEO wa Record lebel ya nchini humo iitwayo Bull Haus Entertainment, Bull Dog ni kati ya watu ambao wametoa maoni yao juu ya kitendo alichokifanya shemeji yao ‘Selly’, na kusema kwamba kama yeye angekuwa Praye (something that will never be) angevunja mahusiano na Selly bila kujali sababu za kufanya hivyo.


“One thing I will note is that the BBA is just a game and there is no way I’m going to agree that my girlfriend or wife will go there and have sex in order to bring home that money. If I do that, then it means I’m lazy as a man and I’m unable to take care of my girlfriend or wife. Let us not forget the Praye Tiatia is a celebrity,” Alisema Bull Dog.


Katika Interview aliyofanyiwa na mtandao huo, Bull Dog alimshauri Praye aachane na Selly kwasababu yeye ni mtu maarufu na amemtia aibu kwa kiasi kikubwa kwa kufanya mapenzi na Nando huku karibia Afrika nzima ikishuhudia kupitia TV zao.

“Maybe if it was just a kiss I would have let it go but going to the extent of having sex? Not me, I won’t allow that because the whole world saw you giving it out willingly.” Aliongeza Bull Dog.


Kwa mujibu wa Ghana Web Mama mzazi wa Selly aitwaye Benedicta Galley amemtetea binti yake kuhusiana na maneno yanayozungumzwa na watu kwa kitendo alichokifanya.

Akizungumza exclusive na kituo cha Peace FM, Mrs Galley alisema yeye haamini kama mwanae na Nando wali fanya mapenzi, sababu alichokiona katika video ni wawili hao wamejifunika blanketi hivyo hata ‘biggie’ hana ushahidi wa kilichokuwa kinaendelea chini ya blanketi hivyo watu wasimhukumu binti yake.


“In the Big Brother house things are not that open especially about the romantic scenes for everybody to see that people are having sexy openly because everything is done under the blanket. We always see male and females together so for me I don’t think they had sex as it is being speculated all over”. Alisema.


Benedecta aliongeza kuwa amefurahishwa na kitendo cha boyfriend wa Selly, Praye Tiatia kukataa kutoa maoni yake kuhusu swala hilo na kuwa anamsubiri Selly atakaporudi
Ghana ampe nafasi kuelezea ukweli wa kilichotokea.

Couple nyingine ambayo video clip ilivuja ikionesha wakikata kiu ya viungo viwili muhimu vya mwili ni Betty ambaye tayari ameshauaga mchezo pamoja na Bolt.
 
Hapo ndo unatakiwa kujua Fedha inavunja uhaminifu katika Mapenzi mengi
''Mali uongeza Furaha ya Mwanamke katika maisha"-Shaban Robert
"VV"
 
Aache ufala, mbona sister wetu Bhoke aligongwa na jamaa la UG tukala kimya......
 
Eti wanatangaza nchi,!manina zao,huku n kuzallsha nchi,!adi kichefchef,et hupewa mpaka bendera ya taifa kwenda ku ...t.i.ana!!
 
Katika michezo ya kipumba,vu huu unashika bendera,nashangaa watu wenye akili zao kushabikia upuuzi wa kizungu uliopandikizwa kwenye vichwa vya kiafrica,hivi utajisikia kama na binti yako anafanya mambo kama hayo?
 
Aisee nimeona ya video ya Betty n Bolt n according to sharia zao Ethiopia, Betty akirudi home akipatikana na hatia as group of people (lawyers),wanategemea kumfungulia mashtaka,atafungwa 6years..for having sex in public!!

Nando n Selly..wamekutana wote akili sawa.
 
Huo mjengo na hii program sijui nafunza nini jamii.....
 
Iliniuma sana tulipogongewa dadayetu Bhoke,hongera sana kaka Nando kwa kutuwakilisha vyema.Endelea kuwagonga zaidi na zaidi
 
haya mashindano hayatufai watz, anayeshabikia bba naye huwa na element za uzinifu, tujiulize tunajifunza nini kutoka bba, nini lengo lake? mwenye akili na hekima hawezi tazama hii kitu, ila mwenye u..punguf..u ndo habanduki, jitambue, acha hizo..
 
Natamani msimu ujao niende mimi,yan ntawageged. aje yan hz dola nkose hata k pia!bg au nando
 
really? nakumbuka hili swala liliongelewa hadi bungeni...

na mimi ndo namshangaa jamaa............!watu tuliongea sana..........!acheni waghana walalamike bana......................kule watu wanaenda kufanya uchafu tu.................yaani hata kama mtu ni dadako akishinda hizo pesa mi singeweza kumpongeza.........................!
 
Mwanaume kutafuna papuchi naona ni sifa kwa taifa in large unlike the other sex.. so interesting!
 
Back
Top Bottom