Wagiriki nini kiliwakuta? Sasa hivi hamna tena Wagiriki wenye akili kama zamani?

mkuu natafuta ule uzi wako unaelezea king leonidas na watu wake mia tatu
Aisee nilikua nishasahau kama niliwahi kuandika mada hiyo. JF inabidi wanaipe badge ya Platinum member kwa ajili ya mchango wangu wa maarifa humu jamvini.
Huu hapa uzi..
 
Sasa hawa Waarabu weupe akina Mo Salah walitokea wapi?
Waarabu walikuja baadae kutokea Mashariki ya kati (hasa palestina) na Uturuki kutokana na vita.

Mafarao walikuwa watu weusi Wanubi (Nubians) wanaopatikana Sudan ya kaskazini, Ethiopia na Egypt kusini.

Hawa ndio waliokuwa wanaishi pembezoni mwa mto Nile na kutumia yale maji kwa karne nyingi tu kabla ya Yesu Kristo kuja duniani

Ni waanzilishi wa ustaarabu wa Africa hii

Kwa mfano nafikiri hata Tohara kwa wanaume ilianzia kwao kabla hata ya Wayahudi.

Watazame Wanubi hasa

View attachment 2146209
 
Sasa hawa Waarabu weupe akina Mo Salah walitokea wapi?

Waarabu walikuwa watumwa Tu wa hawa watu weusi...sema hawa wafalme walioa pia hao waarabu wakaja kutoa watoto mixed race ndo wengine wakawa ma pharaoh pia..

Lakini waanzilishi ni watu weusi na hata tamaduni ni za watu weusi...kabisa

Kinachofanyika ni ku edit history na kuwapa hao mixed race nafasi kubwa na kujaribu kufuta history ya watu weusi...Arab population ilikuja ongezeka baadae sana
 
Wazungu walipokuja kugundua kuwa karibu
Wafalme hao wote walikuwa weusi ndo wakaja Ku edit history kwa kusema hawa wachache ndo walikuwa weusi kabisa..
Wale wengine ambao nao walikuwa weusi wanajaribu kulazimisha waonekane waarabu
 
Hakika.
 
Muvi kama Exodus, Gods of Egypt, X-Men apocalypse wale viongozi wanaonekana ni wazungu ila wale watumwa na wananchi wa kawaida huonekana ni Blacks. Inashagaza sijui wazungu wana nini nasi waafrika na kwanini watumie nguvu kubwa kiasi hicho
 
PhD huzioni SUA wakisafisha Banda la panya?
 
Endelea kujifariji na movie za michongo
 
ugiriki ni vibaka hawana akili ya ugunduzi na nyie wanaislael mnasemaje?siku hizi nasikia wabongo nao wanajiita Russia.
 
Sahihi kabisa hata bible imelezea asili ya Misri ni mtu mweusi na sio mwarabu
 
Hivyo Yesu na wazazi wake kwa nini walikimbilia Misri? Kulikua na ndugu zake? Hivyo Yesu alikuwa black mani? Najaribu kuwaza kwa sauti tu
 
Marekani ndio kinara sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…