Wagiriki nini kiliwakuta? Sasa hivi hamna tena Wagiriki wenye akili kama zamani?

Yesu alikuwa na akili gani?
 
Yesu alikuwa na akili gani?
Majibu ya swali lako yapo hapa. Ingia usome hadi uchoke
Cc
FaizaFoxy
 
Ukitaka kujua Yesu alikuwa na akili gani, alipoletewa yule mwanamke mzinifu ili amhukumu alijibu nini? Jamaa walisepa na cha ajabu walianza wazee!!

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Alexander alifika hadi Modern day India akiwa na majeshi yake..wakishinda na kumiliki miji.
This is contested..... wali face defeats huku ndio wakageuza. India walitumia majeshi ya tembo na kulikua na fortified terrains sio rahisi kupambana huko.
 
Timeline ya tawala za dunia hadi mwisho wa dunia hii Mungu alifunua kupitia ndoto aliyomwotesha mfalme Nebukadneza iliyofasiriwa na nabii Daniel na maono aliyoyaona Daniel
You're misinterpreting things, kwahiyo British empire haikuwepo kwa ndoto ta Nebuchadnezzar? Vipi Ottoman? kama dunia itaisha mwaka 3000 ina maana tawala ni hizo nne pekee? Why do u interpret kirahisi tu hivyo
 
Sijafanya misinterpretation yoyote. Kuna vitu sikugusia..Hizo tawala kuu nne nilizosema utawala wa nne ndiyo una historia ya hizo tawala unazozizungumzia.

Hii unahitaji ufafanuzi na andiko separate ili kujua what were the states which emerged after the fall of the Roman empire..?

To this end, niishie hapa until nitakapoandika kujibu hoja yako nikipata nafasi.
 
Imhotep wa JF au?
 
H
Hiyo Archimedes principal hujakosea ila hicho kisa chake ni vile visa vya "kawawa funika kikombe" πŸ˜‚
 
a Archimedes principle na law of floatation inayohusu Density. Kupitia law hizo tumepata Meli mbalimbali..
Kwa hiyo kabla ya Bwana Archimedes kusaula akielekea Ikulu, safari zote za wagiriki na binadamu wengine zilikuwa za nchi kavu tu!!!?
 
Kwa hiyo kabla ya Bwana Archimedes kusaula akielekea Ikulu, safari zote za wagiriki na binadamu wengine zilikuwa za nchi kavu tu!!!?
Yaani sawa sawa uulize kua kabla ya kugundulika gravity jiwe lilikua likilishwa juu halirudi chini????
 
H

Hiyo Archimedes principal hujakosea ila hicho kisa chake ni vile visa vya "kawawa funika kikombe" πŸ˜‚
Hivi stori za kawawa nani alizitunga na kwasababu gani?? Eti kawawa alilala chini alishwindwa kujua kitanda kipo ukutani inabidi ubonyeze batan ili kichomoke. Ila nyerere alijua. πŸ˜‚
Walikua wanatuchukuliaje lakini??

Eureka Eureka.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…