Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu alikuwa na akili gani?Ukiniambia nitaje Binaadamu watano wenye akili zaidi duniani nitataja hawa.
1. Imhotep
2. Leonado da Vinci
3. Yesu
4. Nikola Tesla
5. plato
Imhotep ndio baba wa gunduzi zote kunzia hesabu za Geometry, Upasuaji wa ubongo, pyramids na Maze Tombs zilizojengwa Misri katengeneza yeye. Huyu jamaa wagiriki wanamuabudu kama Mungu wa tiba na madawa maana alikua daktari wa kila kitu. Alikua Polymath kwelikweli kuliko hata Da'Vinci. Michoro yote ya Misri katengeneza yeye.
Majibu ya swali lako yapo hapa. Ingia usome hadi uchokeYesu alikuwa na akili gani?
This is contested..... wali face defeats huku ndio wakageuza. India walitumia majeshi ya tembo na kulikua na fortified terrains sio rahisi kupambana huko.Alexander alifika hadi Modern day India akiwa na majeshi yake..wakishinda na kumiliki miji.
You're misinterpreting things, kwahiyo British empire haikuwepo kwa ndoto ta Nebuchadnezzar? Vipi Ottoman? kama dunia itaisha mwaka 3000 ina maana tawala ni hizo nne pekee? Why do u interpret kirahisi tu hivyoTimeline ya tawala za dunia hadi mwisho wa dunia hii Mungu alifunua kupitia ndoto aliyomwotesha mfalme Nebukadneza iliyofasiriwa na nabii Daniel na maono aliyoyaona Daniel
Sijafanya misinterpretation yoyote. Kuna vitu sikugusia..Hizo tawala kuu nne nilizosema utawala wa nne ndiyo una historia ya hizo tawala unazozizungumzia.You're misinterpreting things, kwahiyo British empire haikuwepo kwa ndoto ta Nebuchadnezzar? Vipi Ottoman? kama dunia itaisha mwaka 3000 ina maana tawala ni hizo nne pekee? Why do u interpret kirahisi tu hivyo
Mwamba alipenda vita sana (Conquering) ndio maana hakuishi muda mwingi (Genghis Khan???)This is contested..... wali face defeats huku ndio wakageuza. India walitumia majeshi ya tembo na kulikua na fortified terrains sio rahisi kupambana huko.
Umewapanga vizuri, excellent, keep it up!Socrates baba lao. Kawafundisha wote
View attachment 2865213
Imhotep wa JF au?Ukiniambia nitaje Binaadamu watano wenye akili zaidi duniani nitataja hawa.
1. Imhotep
2. Leonado da Vinci
3. Yesu
4. Nikola Tesla
5. plato
Imhotep ndio baba wa gunduzi zote kunzia hesabu za Geometry, Upasuaji wa ubongo, pyramids na Maze Tombs zilizojengwa Misri katengeneza yeye. Huyu jamaa wagiriki wanamuabudu kama Mungu wa tiba na madawa maana alikua daktari wa kila kitu. Alikua Polymath kwelikweli kuliko hata Da'Vinci. Michoro yote ya Misri katengeneza yeye.
Hahaha jina lina akili halafu yeye mbupumbu ah sorry namaanisha mbumbumbuHuyo ni mbumbumbu wa Bavicha
Hiyo Archimedes principal hujakosea ila hicho kisa chake ni vile visa vya "kawawa funika kikombe" 😂Wagiriki walivyokua bado hawajaungana kila Eneo linajitawala walitumia nguvu zaidi kujiimarisha maana wao hawakugopa kufa waliaamini wao ni viumbe special kutoka kwa baba yao wa uumbaji Zeus. Majina mengi ya kigiriki yanaishia na S hata majina ya watu wa mataifai mengine yanaishia S kwakua ni utamaduni uliotokana na wagiriki. Yesu pia jina lake laishia na S yaani Jesus sababu ni kwamba wagiriki wanaamini majina yanayoishia na S yanamaanisha ni mwanaume kutokana na Mungu wao wa kiume Zeus jina lake lainshia na S
Walivyoungana na kua kitu kimoja wakaanza kutumia akili na nguvu ili kujiimarisha zaido kwa kila nyanja wafalme waliwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri katika kutatua changamoto zinazowakabiri na waliwekea mazingira wezeshi hapa sasa ndio gunduzi zikaanza.
Mfano......
Kipindi fulani ugiriki ilikua ni sherehe ya mavuno hivyo wagiriki walikua wanamsherehekea Mungu wao wa mavuno kuwapatia mavuno mengi. Mfalme kama kiongozi mkuu alitakiwa awepo kwenye sherehe sasa mfalme akampatia dhahabu Muhunzi (Goldsmith) amtengenezee kofia ya kuvaa wakati wa sherehe (Crown), Muhunzi kuona dhahabu kashikwa na tamaa akachakachua dhahabu akaweka dhahabu nusu akaongezea na bronze (shaba) akampelekea mfalme kofia yake.... Mfalme akaangalia kofia akaona hapa kashapigwa cha juu ila hana uhakika.
Akaamua kumuita jamaa mmoja ambae kipindi hicho aliaminika ana akili sana aje amchunguzie kofia yake kama imetengenezwa kwa dhahabu tupu kweli au imechanganywa. Ila akamwambia asiiharibu wakati wa kuichunguza maana hana kofia nyingine...Jamaa huyo ni Archimedes
Archimedes akachukua kofia akaenda maabala kwakwe akachunguza wee akashindwa kupata majibu kichwa kikawaka moto hajui afanye nini.. akamuagiza mfanyakazi wake amuwekee mai ya kuoga bafuni kwenye Jacuzzi.
Akaenda bafuni akavua nguo akaingia kwenye Jacuzzi maji yakamwagika nje aivyoona hivo akatoka nje akikimbia uchi huku anapiga kelele hadi ikulu.
Alipomfikia mfalme akaanza kusema harakaharaa "When a body is totally or partially immersed in a fluid is subjected to an upwards force equal to the weight of the displaced fluid. "
Mfalme akamwambia unamaanisha nini wewe mbona sikuelewi 😂😂
Ndio mzee baba akaanza kumuelezea vizuri sasa... Akachukua vipimo vyake akapima uzito wa dhahabu na Shaba kisha akapima uzito wa Ile kofia ikaonekana muhunzi aliiba dhahabu. Na hapo ndio tukapata Law pedwa ya Archimedes principle na law of floatation inayohusu Density. Kupitia law hizo tumepata Meli mbalimbali..
Sio hivyo tu Archimedes alisaidia san kwenye vita..alikua anatengeneza vifaa vya kivita au anatumia vioo kuunguza meli za maadui wanakuja kuvamia nchi yake.
Sisi huku kama una ujuzi wa kutengeneza Gobole au siraha unanyanganywa na unakomeshwa kabisa uwe mfano wengine wasirudie upuuzi kama huo
Kwa hiyo kabla ya Bwana Archimedes kusaula akielekea Ikulu, safari zote za wagiriki na binadamu wengine zilikuwa za nchi kavu tu!!!?a Archimedes principle na law of floatation inayohusu Density. Kupitia law hizo tumepata Meli mbalimbali..
Hahahaha kisa cha kawawa funika kikombe ni kamba moja kubwa sanaaaH
Hiyo Archimedes principal hujakosea ila hicho kisa chake ni vile visa vya "kawawa funika kikombe" 😂
Yaani sawa sawa uulize kua kabla ya kugundulika gravity jiwe lilikua likilishwa juu halirudi chini????Kwa hiyo kabla ya Bwana Archimedes kusaula akielekea Ikulu, safari zote za wagiriki na binadamu wengine zilikuwa za nchi kavu tu!!!?
Hivi stori za kawawa nani alizitunga na kwasababu gani?? Eti kawawa alilala chini alishwindwa kujua kitanda kipo ukutani inabidi ubonyeze batan ili kichomoke. Ila nyerere alijua. 😂H
Hiyo Archimedes principal hujakosea ila hicho kisa chake ni vile visa vya "kawawa funika kikombe" 😂