Wagiriki nini kiliwakuta? Sasa hivi hamna tena Wagiriki wenye akili kama zamani?

Hawa Wagiriki si ndio Wayunani? Hawa walijaaliwa Elimu na Maarifa ya dunia na Mungu mwenyewe, Waliangushwa na Warumi ambao wao walijaliwa kushika Elimu na Uchumi wa dunia mpaka hivi leo.
Na hii ndio point yangu ya mwanzo jamii ikishakubali kwamba wale wamejaliwa ndio maana wapo vile itaendelea kuwa duni...., hakuna kiumbe anayezaliwa ili awe mjinga au mwerevu..., bali mazingira na utamaduni ndio unawapa watu fursa ya kuwa waelevu au wajinga...

Kama jamii hamuwezi kutumia muda wenu wote kushikana uchawi na kupiga majungu alafu mkategemea mtatatua matatizo yenu ya kuongeza uzalishaji wa mazao au ni vipi mtarahisisha umwagiliziaji n.k.
 
na kwel watu watakupinga maana wamekalili elimu ya miaka 1500 A.D ambayo kimsing ni elimu takataka, wanasahau kuwa kuna elimu ya kwel ambayo ndyo Chanzo ama Baba wa sayans&uvumbuz ambayo chanzo chake ni zaid ya miaka 10000 before the foolish white jesus[emoji23][emoji23][emoji23](10000B.C) hil jambo hata walimu wa PHD& MASTERS kwa afrika hutoona walifundsha maana nao wamerithishwa takataka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yesu alitakiwa awe namba moja. I bet Newton and Einstein were a bit smarter than Tesla.
 
Ashuru ilikuwa dola nyingine kabisa wala haihusiani na dola ya Persia au Waajemi kama tuwaitavyo. Dola ya Waashuru iliitangulia dola ya Babeli as a superpower nation.
Kwanza kabisa sijawataja Waashuru kweye uzi huu nimewataja waajemi tu (Persian yaani iran)
Ahusuhero ni majina ya viongozi wa persian kwa mujibu wa tafsiri mbalimbali kama ilivyokua kwa wamisri Pharaoh na warumi Caesar.

Wafalme wa Ashuru (Assyria) ni kama Sennacherib na Sargon. Dola ya Ashuru ilipoanguka ndipo Babeli ika rise as superpower commanding the then world.
Ahsante kwa kwa mchango ..
Ikafata Dola ya Wamedi na Waajemi ambao hawa waliangusha utawala wa Babeli..hii dola nayo ikadumu hadi Alipokuja Alekzanda mkuu akiwa na dola ya kigiriki, kijana wa Philip wa Macedonia...akaiangusha dola ya Wamedi na Waajemi.
Kabisa nakubali. Na alexandar anabaki kua bora kwakua alipewa madini yote na Aristotle.. hapa ndio tutaona elimu na Utawala zinavyosaidia. Alexander aliweza kwa kutumia tactics na Falsafa alizofundishwa na Aristotle.

Unaona hata Marcus aurelius aliweza kuongoza vyema kwakua alichagua Zeno of citium kua mentor wake katika falsafa. Nami nimemchagua Aurelius kuwa mentor wangu wa maisha🙏
Alexander ilikuja kuanguka mikononi mwa Cleopatra ikapelekea kuharibiwa kwa Maktaba ya kwqnza duniani ikiyokua ina urithi wa maarifa mengi ya watu wa misri enzi za utawala wa warumi
Alipotaka kwenda Hadi uchina..wanajeshi wakaasi..ikabidi waanze safari ya kurudi...alikufa akiwa kijana kabisa aged 32. Under him the Greek culture flourished, Alexander mwenyewe alifundishwa elimu na Aristotle mwenyewe.
Watu wa zamani kweli umri hakujalisha katika kutenda mambo makubwa eg, Yesu, nyerere nk. Dogo angeishi japo miaka 50 Sijui ingekuaje
Kwel kila zama na kitabu chake.. Sikutegemea Rumi na Ugiriki zitakuja kuanguka. Naona na Great Britain nayo ilishasagika japo inajitutumua bado..Ngoja tuone kama USA nae atakuja kuanguka kama wengine au nivipi..


Finally a worth opponent, our battle will be legendary 😆
 
Sawa Mkuu, Mimi nimejibu kwa religious point of view, katika tawala hizo mbili
 
Yesu alitakiwa awe namba moja. I bet Newton and Einstein were a bit smarter than Tesla.
Nimitaja wanafalsafa bora yee ndio namuweka namba moja. Hakua scientist wala mathematician. Kwenye Invention bado naona Newton ni bora kuliko einstein ila kati ya Tesla na Newton hapo sasa mambo hua dro.
 
Hapana soma vizuri historia ya ugiriki na kwann lugha yao haikuwahi kuenea kama ilivyo kiingereza
 
Bila shaka humjui Imhotep, imhotep alikua mtu mweusi kama mkaa jinsi ulivyo wewe kutoka misri. Nawamisri kipindi hicho walikua blacks. Mimi sio kwamba nawatukuza wazungu tatizo wafrika hatutunzi kumbukumbu. Wewe mwenyewe nikikuambia nionyeshe daftari la darasa la saba huna wala form one.
Sasa kama kumbukumbu hatutunzi unataka tujidaie kwa vitu visivyokua na ushahidi? Bora wamisri walijitahidi kutunza tamaduni zao.

Naonaa umegusia kuhusu muvi ya Black Panther. Huku ndio kwenyewe sasa napopapend...
Kwanza kabisa naomba unijibu hapa
...Je hua unasoma Comics.....?????
 
Kilichonifanya niwagusie Waashuru ni kwa sababu earlier uzi wako ulisomeka hivyo...uliandika kuhusu Ahasuero then kwenye mabano ukaandika Ashuru. Ndiyo maana nikaanza na hiyo correction...labda kama uliedit baadaye.

Anyways lets learn history....hata Great Britain hawezi tena kureclaim her former glory. The empire ambayo jua halizami.

Superpowers za leo kama Marekani na Uchina they are too strong....hata mchina mwenyewe hawezi kumuangusha US....

Kwa sisi wanafunzi wa unabii tunajua kuwa the US has a role to play in the final world events...it is not going down anaytime soon.
 
Mkuu itabidi utukomboe kifikra ukipata muda andaa thread nzito...

Una material yatofauti kidogo na tuliyo zoea, ingawaje Da' Vinci alishawahi kuelezea(Egypt).
 
Misri waligundua lipstick
 

Nilitamani usimalize, ahsante.
 
Baada ya kuona Wana akili nyingi wakaamza kuweka sheria ngumu mpaka katika matumizi ya lugha. Kitendo cha kuweka sheria ya matumizi ya lugha ndicho kiliwagharimu mpaka leo
fafanua mkuu?
 
Kilichonifanya niwagusie Waashuru ni kwa sababu earlier uzi wako ulisomeka hivyo...uliandika kuhusu Ahasuero then kwenye mabano ukaandika Ashuru. Ndiyo maana nikaanza na hiyo correction...labda kama uliedit baadaye.
Yeah nilikua nimechanganya maneno ndio maana.
Ahasuhero na ashuru vilinichanganya, thanks kwa kunirekebisha.
Ila kiukweli kwa kuangalia unabii na hali ya maisha ya sasa unaona kabisa dunia yafika kikomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…