Wagiriki nini kiliwakuta? Sasa hivi hamna tena Wagiriki wenye akili kama zamani?

Yeah nilikua nimechanganya maneno ndio maana.
Ahasuhero na ashuru vilinichanganya, thanks kwa kunirekebisha.

Ila kiukweli kwa kuangalia unabii na hali ya maisha ya sasa unaona kabisa dunia yafika kikomo.
Mwisho uko karibu sana...it may be sooner than we think. Wengine wanabeza habari hizi na kuona kama ni mzaha fulani...but habari hizi ni za kweli hakika.

Ila cha msingi ni kuishi vizuri tuweze kusimama mbele ya masihi atakaporudi tena.
 
Upo vizuri

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Huwa napenda sana History Channel kwenye king'amuzi cha Azam. Kuna siku nilifuatilia hiyo Roman Empire aisee hao jamaa kwa vita acha kabisa. Hii mishale yetu wao ya kwao ilikuwa very advanced na mikubwa na very deadly, na huvutwa kwa kutumia kimashine cha mbao na inawekwa humo kumi au zaidi. Hivyo mpigaji kuna sehemu anazungusha hicho kimashine mishale inadogezwa kwenye kitu kama chemba ya bunduki, sasa akija kufyatua inatoka mishale mitano kwa mpigo. Nguvu ya mshale kama uko mita 50 - 100 ukikupata kichwani kwenye sikio unatokea sikio la upande wa pili.
 
Sisi uonevu umezidi,yaani ukigundua kitu halafu hujasoma wasomi lazima wakuwekee zengwe.
Ila ushauri wangu Kwa wagunduzi wanapogundua kitu wakitupie moja Kwa moja kwenye mitandao ya jamii
Nalog off
 
Kwakweli sijajua kama wagiriki ndio wayunani... Lakini mkui Takwimu zaonyesha uchumi wa dunia umeshikiliwa na wayahudi.
Wagiriki ndio Wayunani...tawala iliyokuja baada ya Babeli kisha Uami na Uajemi (Iran & Iraq)

Kimaandiko ndio waliokuwa na Elimu ya Tiba, Sayansi, Unajimu, nyota na Elementary Education kwa ujumla

Waliangushwa na dola ya kirumi wenye nguvu ya Pesa na Elimu (Ndio taasisi zenye Elimu bora zaidi duniani na pesa nyingi zaidi kupitia Roman Catholic Church)

Israel ni exceptional, walikuwepo tangu mwanzo na baraka za kipekee kwa wale waliomcha Mungu ila hawakuwa Organized kwa karne nyingi sana
 
Warumi walikuwa wazuri pia kwenye Nutrition, mpaka leo hii Waitaliano wana diet nzuri zaidi ulaya wana long life span kuliko hata Wamarekani

Hili liliwapa nguvu na akili pia
 
Pharmacognosy
 
Religion hapo hujaweka uislamu, uhindi, taoism n.k nao wanasemaje ...
 
Kwa nini usianze na musri ndio uje ugiriki.
Kwa nini isiwe why Egypt is not superpower kwa historia yao iliotukuka.
 
Hivi ni nani alianzisha Katiba duniani?
 
Aliekwambia hakina faida nani?
Hii formula inaelezea nature.
Huwezi jenga jengo kubwa bila kutumia hio formula.
Hio formula ina maximum na minimum, kwa mantiki hio kila chenye maximum na minimum kinatumia hio formula.
Hio formula inakuwa extended na polynomial function which express something in higher degree
Angalia majengo kama viwanja vya mpira, vinatumia tafsiri ya hizo equations.
Waafrika tupo gizani sana na ndio mana hatugundui vitu.
Ukiichunguza formua ya Albert Einstein
F(C) =MC^2 ampapo C is function of f utaona hio ni kanuni ya algebraic equation of second order degree(C^2) ya ax^1 + bx^2 + c ambayo solution yake ndio hio uliondika x= -b +-√(b^2-4ac)/2a

Hii ina mana kwamba nature of energy is quadraticslly formed entity.
Sisi waafrika tunakariri hisabati na sayandi badaka ya kekewa ma jinsi uhusiano wanature na hizo kanunui.
Mpaka leo eti waafrika hatuwezi unda ndege wakati formula zipo vitabuni na hata ndege za wazungu tunazo, tunaweza kufanya reverse engineering tukapata majibu.
We lack curioucity! Then tuna conclude eti formula hazina kazi/ faida.
 
Ok, Ahsante kwa ufafanuzi.
Ila wababeli walikua watabe sana aisee enzi hizo.
Sisi tule bata au tuhonge hatutafikia alivyofanya Nebuchadnezzar.
Nebuchadnezzar alifanya sherehe kwa miezi mitatu yaani wanasherehekea wanalala wanaamka wanasherehekea wanalala kila siku hafi miezi mitatu full pombe,nyama na Chakula. Sijui hali yao ilikuaje baada ya hapo maana ndio sherehe iliyofanyika muda mrefu zaidi kama kumbukumbu zangu ziko sawa ndipo Nebuchadnezzar alipotumia vikombe vya hekalu la Mungu kunywea pombe mkono ukatokea ukaandika ukutani (sina uhakika kama ni Nebuchadnezzar)

Akamuhonga mke wake bustani yenye kila ua lililopatikana enzi zile
 
Mwanazoni nilipoanza kusoma comment yako nilianza kuvutiwa kweli kuona kumbe kuna elimu nzuri nilikuwa siijui kuhusu Africa yetu. Nilipofika pale umeandika Ndalichako na Samia wamesitisha somo la uzalendo nikashituka ghafla, nikapoteza hata interest ya kuendelea kusoma.
 
Historia ya Tanzania ilikuwa ni upuuzi mtupu!
Historia ya kusikiliza hotuba za voongozi wa Tanzania, wakati tunajua viongozi wa Tanzsnia hawajawahi kupatokana kigalari kama walivyokuwa wanapatokaba machifu na watemi.
Kama histotis ta Tsnzanua ingeenda deep zaidi ya viongozi ningeiunga mkono.
Magufuli mwenyewe aliiamini dini za wazungu kwa hoo sio mfano sahihi kwa pan Africanism, huwezi ukawa pan africanist halafu umebeba misaba na nyita na mwezi.
Kingunge angefaa zaidi kuwa kiekekezo cha Africa sio hawa maraisi halafu tuhangaike kusikilza historia zao zolizojaa umagharibi.
Jsmbo lingine our knoeledge is lost knowledge hivyo basi hatuna budi kukitafura kirabu kilichoandija maarifa, hii ina nazna kwamba tunifunze na kuiba kitabu kutoja kwa waliotuibia kitabu kana chiba inavyofanya.
China waneamya kwenda kujiiba kitabu chso ulaya na sasa wanafanana hivyo hawatishani kwa lolote. Irani wamevaniwa kukiiba kitabu kutoka magharibi lakini kwa kutumia utawazi wameweza kuiba maarifa karibu 3/4 ya maarifa ya ulaya.
Sisi waafrika tutajidanganya eti tutarejesha maarifa waliokuwa nayo babu zetu ni uongo!
tukaibe, tutume vibaraka kila kona ya dunia ili walete kilichoibwa na wazungu na warabu.
Wazungu wanavibaraka wao huku wapo kupelekeza na kutuma taarifa kwao nasi tufanye kama wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…