Wagiriki nini kiliwakuta? Sasa hivi hamna tena Wagiriki wenye akili kama zamani?

Kwa kigezo gan umemweka YESU namba 3 na sio 1 au kutomweka kabisa
 
Mkuu unataka kusema hata Zanzibar haikua na watu weusi basi. Kama tusingekua na muungano nadhani kizazi halisi cha wanzibbar kingekuja kutoweka na kubaki warabu kama ilivyo algeria.
Wenyeji wa Afrika Kaskazini ni Amazigh ambao wana asili ya Cushitic. Cushites na Bantu ni watu tofauti kabisa. Cushites wana asili ya Kaskazini Mashariki mwa Afrika.

Asilimia kubwa ya Amazigh wamechanganyika na Wazungu na Waarabu kwa sasa.

Waarabu wa Afrika Kaskazini ni wavamizi kutokea Uarabuni, walivamia wakati wa kueneza Uislamu.
 
Mkuu unataka kusema hata Zanzibar haikua na watu weusi basi. Kama tusingekua na muungano nadhani kizazi halisi cha wanzibbar kingekuja kutoweka na kubaki warabu kama ilivyo algeria.
Hivi unajuw afrika Ina wat w aina ngapi (ethnicaly character)!? Johansu ni weus!?
Kw kesi ya Zanzibar mkuu haitosh kuw mfano kw kesi y misri itatsmbua kidogo sabb hat Zanzibar yenyew nahis kw population namba yao nahis hakkukaliw n wat zaman wamehamia tu (hii inalet urahis pengne w kudisapear namb yao ple kisiwaNi). Kam una ushahid w ugunduz mkubw w miak mingi iliyopita hapo Zanzibar Kam misri weka hapa tuijadl
 
Mods naomba huu Uzi muulinde kwa nguvu zote,Mimi Nina interest sana Ishu km hizi.Napenda sana Falsafa na Sayansi.
 
Hivi unajuw afrika Ina wat w aina ngapi (ethnicaly character)!? Johansu ni weus!?
Kama sijakosea ni aina 4
Kw kesi ya Zanzibar mkuu haitosh kuw mfano kw kesi y misri itatsmbua kidogo sabb hat Zanzibar yenyew nahis kw population namba yao nahis hakkukaliw n wat zaman wamehamia tu (hii inalet urahis pengne w kudisapear namb yao ple kisiwaNi).
Umenipa kitu kipya hapa mkuu ngoja niendelee kufuatiliwa
una ushahid w ugunduz mkubw w miak mingi iliyopita hapo Zanzibar Kam misri weka hapa tuijadl
Kwakweli sina ushahidi wowote mkuu nimejaribu kuibua mjadala tu.. Sijui mwenzangu labda unaweza kua na facts kuhusu chimbuko la Zanzibar tujifunze
 
Nilikuwa napita kama msomaji mpaka nilivyoona hoja yako hapa, mkuu ishu ya race kufutwa ni rahisi sana rejea hapo Argentine(amerika kusini) kwa kina Messi, huko watumwa wengi walipelekwa kiasi kwamba Brazil,Peru,Uruguay na nchi zingine miaka hii zina population kubwa ya blacks lakini ni tofauti kwa Argentine ambayo inasemekana waliwafanyizia watu weusi na kuwapoteza kabisa kwenye ramani ya nchi yao mpaka sasa hivi huji kumsikia wala kumuona muajentina mweusi!


Race kufutwa sehemu ni rahisi tu mkuu, kumbuka hata miaka inayosemwa hapo ni zaidi ya miaka 5000 iliyopita!
 
Archimedes Ni yule aliyesema"eureka" yaani nimegundua. Newton alirusha embe juu akajiuliza ni kwa nini lianguke, lisiendelee kwenda juu? Sijui kama alikuwa Myunani! Sio mchezo Wayunani ni kichwa!
 
Hapo ndipo aliharibu!!
 
Hebu jaribu kuielezea vizuri mada yako!!
 
Kilichoharibu kabisa genetic codes za wagiriki na waitaliano kutoka kuwa magenius mpaka kuwa mazwazwa kama sasa hivi ni kutumia vifaa vilivyotengenezwa kwa Lead(Pb) katika matumizi yao ya winery, wametumia vifaa hivyo kuivisha vinyo mpaka kwenye vifaa vya kunywea, walkuwa wakiweka vinyo kwenye vikombe vya Lead inakuwa tamu sana mpaka wakavipa jina la kuvifisia kumbe wanajiua! Wale walio na mwanga kidogo wa kemia wanajua madhara ya heavy metals haswa Lead(Pb) na Mercury(Hg). Hizi metals zinaathiri kuanzia kwenye ubongo, reproductive systems mpaka genes!
Nadhani ndo hyo sababu( yaani walitumia vifaa hivyo bila kujua zaidi ya miaka 4000)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…