Mr Putin
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 515
- 520
Kundi la Wagner kutoka Urusi waliletwa na Serkali ya DRC kupambana na M23 sasa waanza kupewa moto!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kuwepo majeshi ya UN na Sasa EAC bado Drc imeajiri Wagner ?...sio kwamba ni propaganda tu hizi ?Wagner wako proper Sana kwenye ishu ya uvaaji na silaha.
Hapo inaonekana Kama Ni wapiganaji but Ni mgambo TU wasio hats na mavazi maalum
Sijui.Pamoja na kuwepo majeshi ya UN na Sasa EAC bado Drc imeajiri Wagner ?...sio kwamba ni propaganda tu hizi ?
Moronight walker
mtu chake
Mwenyewe NASHANGAA wagner WANAvaaa mavazi ya jeshi la congo.Pamoja na kuwepo majeshi ya UN na Sasa EAC bado Drc imeajiri Wagner ?...sio kwamba ni propaganda tu hizi ?
Moronight walker
mtu chake
Wagner wako proper Sana kwenye ishu ya uvaaji na silaha.
Hapo inaonekana Kama Ni wapiganaji but Ni mgambo TU wasio hats na mavazi maalum
Wagner wa kibera buzaKundi la Wagner kutoka Urusi waliletwa na Serkali ya DRC kupambana na M23 sasa waanza kupewa moto!.
Since when Wagner wakavaa "locally" hivi!? Acha kupost kila uchafu humu.Kundi la Wagner kutoka Urusi waliletwa na Serkali ya DRC kupambana na M23 sasa waanza kupewa moto!.
Wagner wa mchongo hao