IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Umeshawahi kumshauri maneno kama haya bwana andunje putin?Tusema wote UKRAINE na NATO wanaanza kufeli vibaya mno, ...sema inauma sana kwa Ukraine kuingizwa mkenge na NATO USA na EU ......sasa UKRAINE wawe watumwa wa USA watamlipa marekani resources zote walizonazo , pia huyu mtu....ni aende front line akone wenzake wanavyopata shida