Umeshawahi kumshauri maneno kama haya bwana andunje putin?Tusema wote UKRAINE na NATO wanaanza kufeli vibaya mno, ...sema inauma sana kwa Ukraine kuingizwa mkenge na NATO USA na EU ......sasa UKRAINE wawe watumwa wa USA watamlipa marekani resources zote walizonazo , pia huyu mtu....ni aende front line akone wenzake wanavyopata shida
Ilimradi ujumbe umefika
Wanashindana kujipendekeza kwa mafia Putin.Mr Prigozhin will most likely use any victory to bolster the reputation of Wagner as an effective fighting force in the eyes of President Putin.
But the Russian defence ministry appeared to contradict the controversial oligarch's claims.
Teh teh teh πππ nyie jamaa mna maneno kweli kweli...ππKuna mahali nimesoma kuwa NATO imepigwa na kampuni ya ulinzi huko "Solider". Aibu kwa NATO!
Mwenyewe nimecheka balaa lakini huo ndio ukweli.Teh teh teh πππ nyie jamaa mna maneno kweli kweli...ππ
Hapo inaongelewa ukraine na russia sasa sijui huyo Allah ameingiaje hv nyinyi christians huwa hamjifikirii kwann waislam huwa hawamkashifu jesus yaani katika mijadala yote wanaoanzisha kudharau imani za wengine hata km kinachoongelewa hakihusu dini ni nyinyi christians kwani huko sunday school huwa mnafundishwa chuki dhidi ya uislam?You also need to go to help your fellow jihadists of Al Shabaab, Isis or Boko Haram fighting for their mythical allah.
Usipate nao tabu teari huko PUTINHapo inaongelewa ukraine na russia sasa sijui huyo Allah ameingiaje hv nyinyi christians huwa hamjifikirii kwann waislam huwa hawamkashifu jesus yaani katika mijadala yote wanaoanzisha kudharau imani za wengine hata km kinachoongelewa hakihusu dini ni nyinyi christians kwani huko sunday school huwa mnafundishwa chuki dhidi ya uislam?
Islam haijatajwa kabisa hapo.Hapo inaongelewa ukraine na russia sasa sijui huyo Allah ameingiaje hv nyinyi christians huwa hamjifikirii kwann waislam huwa hawamkashifu jesus yaani katika mijadala yote wanaoanzisha kudharau imani za wengine hata km kinachoongelewa hakihusu dini ni nyinyi christians kwani huko sunday school huwa mnafundishwa chuki dhidi ya uislam?