Kulikoni wale wafuasi kindakindaki wa yule wakimwita mwamba Putin tokea pande za Buza kutokomea kusikojulikana?
Au tuseme hawajauona umuhimu wa kujaza hilo ombwe lililoachwa na wale ndugu zao wa Wagner?
Si waswahili walisema ukipenda boga upende na ua lake?
Wako wapi kina Yericko Nyerere na wenzao?
Maisha mbona ni murua msingi ukiwa kuwa na Imani isiyotetereka kuhusu haki?
"Haki ni haki tu, hata kama ni za wa Ukraine au za ma CCM."