Wagner walipokinukisha warusi wa Buza waliishia wapi?

Hivi hawa wagner kwanini wasije Tz tukabinafsisha na kuwapa bure ule 'mhimili ovu' wakaondoka nao ili tuishi kwa amani!
 
Mbona kina Odinga wanakinukisha wenyewe dhidi ya mihimili ovu?

Hata sisi tunaweza.
 
Back
Top Bottom