unazungumzia watanzania wanaotumia nguvu akili zao kwenye utumbo mpana.
kipindi cha nyuma magufuli jembe leo mama katuvusha kwenye utawala mubaya
tanzania tuna kundi la wajuwai wasio taka kujua.Aliwaita Magufuli kuwa ni vijana wa hovyo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili.
Kwa hili la urusi na Wagner waliko sasa ni kama mapanya yaliyomwagiwa na maji.
tanzania tuna kundi la wajuwai wasio taka kujua.
rudi anza kuona kosa lilotokea sudani ndio utaona kwa urusi kwa mtu ambaye kama unafatalia vizuri.achana na kahawa na wavaa kobazi hawa ambao wanakazana kusifia tu kwa jaziba
Sasa hivi tuko na waarabu wa buza wanaitetea DP WorldKulikoni wale wafuasi kindaki ndaki wa yule wakimwita nwamba Putin
tokea pande za Buza kutokomea kusikojulikana?
Au tuseme hawajauona umuhimu wa kujaza hilo ombwe lililoachwa na wale ndugu zao wa Wagner?
Si waswahili walisema ukipenda boga upende na ua lake?
Wako wapi kina Yericko Nyerere na wenzao?
Maisha mbona ni murua msingi ukiwa kuwa na Imani isiyotetereka kuhusu haki?
"Haki ni haki tu, hata kama ni za wa Ukraine au za ma CCM."
Hutaki wapewe magunia ya Futari na Ng'ombe na Pesa bure siku za Eid, fika mwananchi pale karibu na kituo Cha mafuta wanagawa mchele, nyama na Pesa leo Eid Al Adha waarabu wanagawa bureSasa hivi tuko na waarabu wa buza wanaitetea DP World
Na Ina MENO kweli famasihara Nini
Pia tupo na wazungu wa Nzega wanaipinga DP World.Sasa hivi tuko na waarabu wa buza wanaitetea DP World
Vipi wale wanaotoa misaada halafu wanakulazimisha kusuport watu kufumuana malinda?Hutaki wapewe magunia ya Futari na Ng'ombe na Pesa bure siku za Eid, fika mwananchi pale karibu na kituo Cha mafuta wanagawa mchele, nyama na Pesa leo Eid Al Adha waarabu wanagawa bure
Unaisema SERIKALI KUUVipi wale wanaotoa misaada halafu wanakulazimisha kusuport watu kufumuana malinda?
Tena wanatishia kabisa kua usipoikubali LGBTQ tunakata misaada,wewe hao ndio unawapenda Eeh?
Wao wanasifia kwa jazba ila na wewe mvaa ushanga unakazana kupinga kwa chuki,tofauti yenu iko wapi hapo sasa?tanzania tuna kundi la wajuwai wasio taka kujua.
rudi anza kuona kosa lilotokea sudani ndio utaona kwa urusi kwa mtu ambaye kama unafatalia vizuri.achana na kahawa na wavaa kobazi hawa ambao wanakazana kusifia tu kwa jaziba
Nakusema wewe na wapuuzi wenzako wenye chuki ya udini,Unaisema SERIKALI KUU
Wavaa kubaziNakusema wewe na wapuuzi wenzako wenye chuki ya udini,
wewe uliposema "hutaki wapewe magunia ya futari na N'gombe...." ulikua unawasema kina nani?
Huu uzi uchanganywe na ule wa kula tunda kimasihara