N Ninaweza JF-Expert Member Joined Dec 14, 2010 Posts 13,095 Reaction score 8,284 May 16, 2023 #21 HIMARS said: Hii kitu ni mbaya sana kwa Wagner maana Urusi inaweza amua toa maeneo yao ili wakaangwe Click to expand... Kama ni kweli wegner yaweza kubinafsishwa.
HIMARS said: Hii kitu ni mbaya sana kwa Wagner maana Urusi inaweza amua toa maeneo yao ili wakaangwe Click to expand... Kama ni kweli wegner yaweza kubinafsishwa.
Sir John Roberts JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 12,835 Reaction score 23,584 May 16, 2023 #22 Vipi kuhusu mifumo ya ulinzi ya marekani iliyopigwa leo usiku huko Kiev?
M MTZ 255Dar JF-Expert Member Joined Sep 25, 2018 Posts 1,149 Reaction score 3,963 May 16, 2023 #23 Sir John Roberts said: Vipi kuhusu mifumo ya ulinzi ya marekani iliyopigwa leo usiku huko Kiev? Click to expand... Hakuna hata Nzi aliyeuawa Jana Usiku.Hypersonic zenu zote zimesambaratishwa zikiwa angani. Naona unajitokeza Mara chache Sana humu jukwaani baada ya kuokoteza vijihabari vyako viwili vitatu kutoka kwenye kijiwe Cha Kahawa.
Sir John Roberts said: Vipi kuhusu mifumo ya ulinzi ya marekani iliyopigwa leo usiku huko Kiev? Click to expand... Hakuna hata Nzi aliyeuawa Jana Usiku.Hypersonic zenu zote zimesambaratishwa zikiwa angani. Naona unajitokeza Mara chache Sana humu jukwaani baada ya kuokoteza vijihabari vyako viwili vitatu kutoka kwenye kijiwe Cha Kahawa.
R ruhosho Senior Member Joined Jan 5, 2020 Posts 105 Reaction score 168 May 16, 2023 #24 Hweni vp wakati magorofa yalikua ysnawaka moto nakuta kupasuka
Aiba JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 2,047 Reaction score 3,912 May 16, 2023 #25 MTZ 255Dar said: Hakuna hata Nzi aliyeuawa Jana Usiku.Hypersonic zenu zote zimesambaratishwa zikiwa angani. Naona unajitokeza Mara chache Sana humu jukwaani baada ya kuokoteza vijihabari vyako viwili vitatu kutoka kwenye kijiwe Cha Kahawa. Click to expand... Rah ya izi habari wee angali nani anayewahi kutoa taarifa na picha
MTZ 255Dar said: Hakuna hata Nzi aliyeuawa Jana Usiku.Hypersonic zenu zote zimesambaratishwa zikiwa angani. Naona unajitokeza Mara chache Sana humu jukwaani baada ya kuokoteza vijihabari vyako viwili vitatu kutoka kwenye kijiwe Cha Kahawa. Click to expand... Rah ya izi habari wee angali nani anayewahi kutoa taarifa na picha
Mamlukii JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 1,063 Reaction score 2,387 May 16, 2023 #26 Vita bado mbichi