Wagner walitaka lihujumu jeshi la Urusi

Wagner walitaka lihujumu jeshi la Urusi

Vipi kuhusu mifumo ya ulinzi ya marekani iliyopigwa leo usiku huko Kiev?
Hakuna hata Nzi aliyeuawa Jana Usiku.Hypersonic zenu zote zimesambaratishwa zikiwa angani.

Naona unajitokeza Mara chache Sana humu jukwaani baada ya kuokoteza vijihabari vyako viwili vitatu kutoka kwenye kijiwe Cha Kahawa.
 
Hweni vp wakati magorofa yalikua ysnawaka moto nakuta kupasuka
 
Hakuna hata Nzi aliyeuawa Jana Usiku.Hypersonic zenu zote zimesambaratishwa zikiwa angani.

Naona unajitokeza Mara chache Sana humu jukwaani baada ya kuokoteza vijihabari vyako viwili vitatu kutoka kwenye kijiwe Cha Kahawa.
Rah ya izi habari wee angali nani anayewahi kutoa taarifa na picha
 
Back
Top Bottom