Wagner wanyofoa sehemu za siri za mpiganaji aliyetaka kurudi nyuma kwa uwoga

Wagner wanyofoa sehemu za siri za mpiganaji aliyetaka kurudi nyuma kwa uwoga

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii inaonyesha hali ilivyokua ngumu kwa Mtanzania aliyeuawa akimpigania Putin, yaani ni aidha usonge mbele ufe au unyofolewe sehemu nyeti...yaani mapum.bu

The merciless tactics of the Wagner Group in Ukraine have been exposed in intelligence reports this week, which learned a mercenary member was "castrated" for trying to surrender to Ukrainian forces.​

A Wagner mercenary was brutally castrated by his fellow fighters for trying to either retreat or surrender to Ukrainian forces in the war. The revelation was included in a Ukrainian intelligence report obtained by CNN which highlighted the extreme and brutal tactics of the Wagner Group. Over the course of the war in Ukraine, Russia has increasingly relied on the paramilitary forces led by oligarch Yevgeny Prigozhin, a close ally of Vladimir Putin.

Ukrainian intelligence services picked up intercepted calls between Russian fighters on the frontline.

In one, a soldier is heard talking about another who tried to give himself up to the Ukrainians but was punished severely.

The Russian troop can be heard saying: “The Wagnerians caught him and cut his f****** balls off."

Wewe tuletee za upande wa waarabu tutaziamini.
Nimesema,Kwa reputation ya Kyiv,huwezi kuwaamini Kwa chochote watachosema juu ya Urusi!
Haya ni baadhi ya waliyodanganya mchana kweupe na baadaye kuumbuka!

*Walisema bomu lilitua Poland,lilirushwa na Urusi!Wakaja kuumbuliwa na hao hao west!

*Walisema mabomu yote ya Russia yalikuwa intercepted,jeshi likaja kukanisha na kusema bomu la Russia lililoangusha ghorofa,hawana AD za kulitungua!Msemaji wa Zele akajiuzulu Kwa kusema uongo!

*Regime ya zele Ilikuwa inatoa namba fake za casualties,Wakaja kuumbuliwa na yule mama boss wa EU,basi Zele na washirika wake wakakasirika sana Kwa huyo mama kutoa ukweli!

Leo kirahisi rahisi tu,unakuja na habari kama hii,mwenye akili lazima aitilie mashaka!
 
Hiyo siyo mada ya Leo!Ingekuwa imekuja taarifa kutoka Russia dhidi ya Ukraine,kipindi kama hiki Cha vita basi mwenye akili lazima aitizame habari hiyo mara mbili!

Mada ya leo ni kuhusu wanachokifanya Wagner, wewe fungua mada utuletee za upande wako wa waarabu....
Tangu hivi vita vinaanza kila mmoja amekua huru kutuletea taarifa za kwake, mimi nimekua nikileta za namna Mrusi amefukuziwa kuanzia Kyev mpaka sasa anagombania kamji ka chumvi huko mpakani.
 
😃😃,Mbona wakenya wanasifika kuwa Wana uelewa mkubwa?Nini kimetokea?😃
 
Wanasaka mashoga mpaka wawamalize wote.

20230128_122233.jpg
 
Source: Express.co.uk, mtu unategemea kupata habari gani +ve kutoka kwa tabloid papers za Uingereza pamoja na Serikali yake wanao tawaliwa na chuki binafsi kuhusu utawala wa Putin na Putin mwenyewe - wapuuuzi sana hawa, yaani akili zao bado zinatawaliwa na remnant colonial behaviour pamoja na bygone cold war mentality.

Wanacho kisema kuhusu Wagner Group ni upuuzi mtupu -je, Wamericani na Waingereza pamoja na wewe mnajifanya kusahau mara hii kundi la Kimerikani linalo julikana kama BLACWATER linajihusisha na masuala yapi kijeshi yana tofauti gani kimantiki na Wagner Group, hilo hamlisememi kwa kuwa Wagner wamewatimua wanajeshi wa Ufaransa, Uingereza pamoja na Wamerikani kutoka baadhi ya mataifa ya Afrika ya kati na Sudan viongozi wa mataifa hayo walipo omba msaada kutoka kwenye Kundi la Wagner baada ya baadhi ya viongozi wa Afrika ya kati kuchoshwa na ukoloni mambo leo wa majeshi wa mataifa ya magharibi walio kuwa wanajifanya wanalinda mataifa hayo, ukweli huu ndio unawafanya media za magharibi pamoja na viongozi wao kuisema sema vibaya Wagner group kwamba ni kundi baya lenye mlengo wa kigaidi - ulaghai mtupu.
 
Kila mmoja ana uhuru wa kuleta habari, source yangu ni uingereza, nyie mna uhuru wa kuleta source za huko uarabuni.
 
Back
Top Bottom