Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Chukueni hivyo vipeperushi mviweke kichwani mwenu ila ndio mtakuwa mmeongeza Ujinga!Utumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukueni hivyo vipeperushi mviweke kichwani mwenu ila ndio mtakuwa mmeongeza Ujinga!Utumbo
Hivi unafikiri hawa ni KDF wanajificha kwenye nyasi baada ya kutishia mapanga na Al Shaban?Hii inaonyesha hali ilivyokua ngumu kwa Mtanzania aliyeuawa akimpigania Putin, yaani ni aidha usonge mbele ufe au unyofolewe sehemu nyeti...yaani mapum.bu
The merciless tactics of the Wagner Group in Ukraine have been exposed in intelligence reports this week, which learned a mercenary member was "castrated" for trying to surrender to Ukrainian forces.
A Wagner mercenary was brutally castrated by his fellow fighters for trying to either retreat or surrender to Ukrainian forces in the war. The revelation was included in a Ukrainian intelligence report obtained by CNN which highlighted the extreme and brutal tactics of the Wagner Group. Over the course of the war in Ukraine, Russia has increasingly relied on the paramilitary forces led by oligarch Yevgeny Prigozhin, a close ally of Vladimir Putin.
Ukrainian intelligence services picked up intercepted calls between Russian fighters on the frontline.
In one, a soldier is heard talking about another who tried to give himself up to the Ukrainians but was punished severely.
The Russian troop can be heard saying: “The Wagnerians caught him and cut his f****** balls off."
Saafi sana Wagner, yeyote atakae saliti chama kata korodaniHii inaonyesha hali ilivyokua ngumu kwa Mtanzania aliyeuawa akimpigania Putin, yaani ni aidha usonge mbele ufe au unyofolewe sehemu nyeti...yaani mapum.bu
The merciless tactics of the Wagner Group in Ukraine have been exposed in intelligence reports this week, which learned a mercenary member was "castrated" for trying to surrender to Ukrainian forces.
A Wagner mercenary was brutally castrated by his fellow fighters for trying to either retreat or surrender to Ukrainian forces in the war. The revelation was included in a Ukrainian intelligence report obtained by CNN which highlighted the extreme and brutal tactics of the Wagner Group. Over the course of the war in Ukraine, Russia has increasingly relied on the paramilitary forces led by oligarch Yevgeny Prigozhin, a close ally of Vladimir Putin.
Ukrainian intelligence services picked up intercepted calls between Russian fighters on the frontline.
In one, a soldier is heard talking about another who tried to give himself up to the Ukrainians but was punished severely.
The Russian troop can be heard saying: “The Wagnerians caught him and cut his f****** balls off."
Unategemea CNN ataisifu WagnerChukueni hivyo vipeperushi mviweke kichwani mwenu ila ndio mtakuwa mmeongeza Ujinga!
Ni aibu na fedheha kwa Rais wa nchi kumiliki kundi la wahalifu.Wagner group ni kundi la kigaidi linalomilikwa Putin binafsi.
I can hear the yelling sound of the guy as they chop off his dick and balls simultaneously using a rather blunt knife.I can imagine the pain
Ndo maana wanasema Putin ni mhalifu ndani na nje ya nchi yake. Iko siku watamdaka na watamfungulia mashtaka ya Uhalifu wa Kivita au watamtenda kama yule Kiongozi mapangoni.Ni aibu na fedheha kwa Rais wa nchi kumiliki kundi la wahalifu.
Mnadhani Russia ni Iraq😃😃😃Ndo maana wanasema Putin ni mhalifu ndani na nje ya nchi yake. Iko siku watamdaka na watamfungulia mashtaka ya Uhalifu wa Kivita au watamtenda kama yule Kiongozi mapangoni.
Hahahahaaaa,ni aibu kwako!Wagner imeanzishwa kisheria na wametuma maombi kufungua ofisi USA!😃😃😃Ni aibu na fedheha kwa Rais wa nchi kumiliki kundi la wahalifu.
Nyani na Ngedere ni kitu kile kile tu, wote hula mahindi mabichi. Hao uliowataja wote ni Vichwa maji- wanapenda sana vita vya kibabe.Mnadhani Russia ni Iraq😃😃😃
KDF bure kabisa majigambo tuuu na kupenda sana publicity stunts za kitoto - we angalia tangu troops wamepelekwe huko Congo DRC eti kulinda amani, sasa angalia kinacho endelea huko tangu ujio wao kasi ya - waasi kuteka miji na raia kuuwawa imeongezeka exponentially - wao wapo wapo tu na ngonjera chungu mzima - manufacturing lame excuses kila siku.Hivi unafikiri hawa ni KDF wanajificha kwenye nyasi baada ya kutishia mapanga na Al Shaban?
Dah! hii sasa ni kama Calculus. 🏃♂️ 🏃♂️Ipi bora, wanyofoe ufe au uende vitani utunguliwe ubongo?
Propaganda za USA hizo.
Anajua kichapo chao Alleppo Syria alipotaka kumtoa Al asaad.
Yeye mbona ana vikundi vingi mfano back water nk,vyake sio vya kigaidi?
He hao Wagner mara hiyo wamekuwa waarabu,,, au waarabu wamekula kiboga ndo maana unawachukia,, sipati picha hiyo urusi ndo ingekuwa waarabu sijui ingekuwawaje,,, mana kutwa kutwa kucha ungekuwa unafungua nyuzi zao,,,
Ukienda mbele ukraine wanapiga makalio yaani aisee siri zaootuUkirudi nyuma nyeti zinanyofolewa