Wagner wanyofoa sehemu za siri za mpiganaji aliyetaka kurudi nyuma kwa uwoga

Wagner group ni kundi la kigaidi linalomilikwa Putin binafsi.
Propaganda za USA hizo.
Anajua kichapo chao Alleppo Syria alipotaka kumtoa Al asaad.
Yeye mbona ana vikundi vingi mfano back water nk,vyake sio vya kigaidi?
 
Yeyote apiganaye kwa ajili ya urusi anahofu x 1000 ya kuuwawa, wenzao washaenda na maji
 
Wakimaliza Ukraine waende congo wakamfurushe kagame, aache kujenga nchi KWA wizi.
 
Wewe tuletee za upande wa waarabu tutaziamini.
He hao Wagner mara hiyo wamekuwa waarabu,,, au waarabu wamekula kiboga ndo maana unawachukia,, sipati picha hiyo urusi ndo ingekuwa waarabu sijui ingekuwawaje,,, mana kutwa kutwa kucha ungekuwa unafungua nyuzi zao,,,
 
.

The Russian troop can be heard saying: “The Wagnerians caught him and cut his f****** balls off."
Ilibakia kidogo niitilie maanani mpaka nilipoisoma hapo?
 
Kujiunga na jeshi kama kujiunga na kikundi cha uchawi tu Once you go over that line there's no coming back,umesign kufa au kupona kwenye uwanja wa vita unaogopa.... adhabu inajulikana kwa mwanajeshi muoga..
 
Hizo report ni zakuziamini vipi mk254 kwani unakwamia wapi?
 
"The revelation was included in a Ukrainian intelligence report obtained by CNN which highlighted the extreme and brutal tactics of the Wagner Group."

Sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…