Wagombea Chato Kusini wamwaga mamiilioni kuwania ubunge

Wagombea Chato Kusini wamwaga mamiilioni kuwania ubunge

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Kumekucha ,kumekucha

Huku Chato kusini wagombea wawili matajiri wa dhahabu,wanaonyeshana jeuri ya pesa

Wikiend hii alialika watu 500 nyumbani kwake Kata ya Bwanga na kuwalisha nyama kuanzia asubuhi na kugawa bahadha zenye kiasi cha sh 15000 mpaka 500,000 kwa kila aliyehudhuria

Baada ya kusikia hivyo bilionea mwingine leo amefanya kufuru huko Buseresere,ameteketeza kama milioni 200 akigawa pesa kama njugu.

Kwa wiki ya pili sasa mabilionea hao wameshateketeza mabilioni wakitafuta kuungwa mkono
 
Back
Top Bottom