johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CCM ni chama cha watu wastaarabu wasiopenda tabia za hovyo hovyo sasa inapotokea wanachama wake tena wanaogombea uongozi kukosa maadili inafikirisha sana.
Hebu fikiria unapokuwa na mbunge anayetuhumiwa kupost picha za utupu mitandaoni taswira ya chama inaonekanaje?
Au mbunge anayepigwa mitama " kizembe" jukwaani vijana wa uvcvm watafikiriwaje huko mtaani!
Niishie hapo.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!