Wagombea ubunge Mwijaku na Mbasha wameiaibisha CCM kwa kukosa maadili

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
CCM ni chama cha watu wastaarabu wasiopenda tabia za hovyo hovyo sasa inapotokea wanachama wake tena wanaogombea uongozi kukosa maadili inafikirisha sana.

Hebu fikiria unapokuwa na mbunge anayetuhumiwa kupost picha za utupu mitandaoni taswira ya chama inaonekanaje?

Au mbunge anayepigwa mitama " kizembe" jukwaani vijana wa uvcvm watafikiriwaje huko mtaani!

Niishie hapo.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Bwashee vp yule aliemtandika mwenzake rungu?
 
Hapa leo umepuyanga, tuhuma si dhambi! Na kwa watu kama hao(celebrities) tegemea tu kusikia tuhuma nyingi tu, na kama kweli wameaibisha chama basi wabunge wengi tu wameaibisha vyama vyao kwa tuhumu. Hapa chini ni tuhuma za baadhi ya wabunge;
- mbowe ana tuhuma za kulewa
- mdee na bulaya wana tuhuma za kusaga....n....
- lema ama tuhuma za wizi wa magari
- nyalandu ana tuhuma za kul.....w.... Ti....g
 
Unaujua ustaarabu au umeamua kujiliwaza
 
Wewe unazungumzia Chadema na mimi siko huko bwashee.

Ndio maana nimekuwa specific.....ustaarabu wa CCM siyo wa Chadema usiwaonee Ufipa na maisha waliyojiamulia.
 
CCM yenye ustaarabu ni ile ya Mwalimu JKN (RIP mzee wetu).
nyingine zote zilizofuata zipo zipo tu.
 
Ccm always INA upungufu wa right candidates ndio maana serikali hulaziikia kuja side B ( opposition ) kununua watu na kuwapa vyeo mfano Uwaziri,ukatibu mkuu,ukuu wa mkoa na wilaya ,udas na uras nk in short most of ccm candidates ni hooligans!!!
 
Umepuyanga sana!
 
Ushahid wa picha
 

Nani CCM mwenye maadili kabisa? Mwenye maadili hawezi kukaa ccm maana ccm ni kichaka cha kujificha wala rushwa(hadi takakuu wamesalimu amri) ,chaka la wakwepa kodi ,chaka la wasaka tonge ,chaka la mafisadi wa kingono.(mf Mkono wa baunsa)
 
Ccm members ndio hawa
 

Attachments

  • IMG-20191012-WA0054.jpg
    56.4 KB · Views: 2
  • images (4).jpeg
    35.1 KB · Views: 1
  • images (3).jpeg
    30.3 KB · Views: 1
Weka picha na sisi wa mikoani tuone jinsi alivyopigwa mitama na uwele, sasa unapoleta habari siyo wote tulibahatika kuangalia tamasha tunashindwa kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…