Fomu ni nyaraka ya kisheria (legal document), hakuna mtu anaruhusiwa kuibadilisha pindi kisha kabidhiwa kwa tume.Hata sheria ya uchaguzi hakuna sehemu yoyote inaposema mgombea anyang'anywe haki yake kwa kukosea kujaza fomu.
Nimekuuliza wapinzani ndiyo wanaowaambia wasimamizi wa uchaguzi wafunge ofisi wasiweze kuwasilisha form ?Ikiwa unapelaka fomu yako mguu kwa mguu na unakabidhi ikiwa nje ya bahasha, kila mtu anaona, na unathibitisha kama ni wewe ndio ukiejaza fomu kwa kuweka saini. Huo mchezo imechezwa wapi? Maana nakala ya fomu ipo, kwenye rufani itatolewa. Nani atacheza huo mchezo ambapo anajuwa rungu litamuangukia yeye siku ya rufani.
Wanabadilisha sasaFomu ni nyaraka ya kisheria (legal document), hakuna mtu anaruhusiwa kuibadilisha pindi kisha kabidhiwa kwa tume.
Kuna office gani ilifungwa mwaka huu 2020? Ikiwa tangazo lilishatolewa office zote ziwe wazi siku ya kupokea fomu.Nimekuuliza wapinzani ndiyo wanaowaambia wasimamizi wa uchaguzi wafunge ofisi wasiweze kuwasilisha form ?
Mlimba.Kuna office gani ilifungwa mwaka huu 2020? Ikiwa tangazo lilishatolewa office zote ziwe wazi siku ya kupokea fomu.
Nakojua mimi kwenye matatizo kulikuwa moro mjini na rufani iko mezani, lakini hata kwingineko rufani zote zimeshawasilishwa. Hakuna hata jimbo moja lenye kero ambapo rufani haijawasilishwa. Na kama tatizo ni msimamizi, atawekwa kiti moto na yeye ajieleze.Mlimba.
Kilombero kata...
Turudi kwenye hoja ya msingi.Nakojua mimi kwenye matatizo kulikuwa moro mjini na rufani iko mezani, lakini hata kwingineko rufani zote zimeshawasilishwa. Hakuna hata jimbo moja lenye kero ambapo rufani haijawasilishwa. Na kama tatizo ni msimamizi, atawekwa kiti moto na yeye ajieleze.
Maelekezo yote yalishatolewa na yanajulikana kwamba kila muhusika anayehusika na kupokewa maombi ya kugombea au kutoa malalamiko awepo ofisini muda wowote. Kama kuna mtu kafanya mengine hiyo kesi nyingine na kuna utaratibu wa kurekebisha.Turudi kwenye hoja ya msingi .
Je hao wakurugenzi waliambiwa na wapinzani kuwa wafunge ofisi ili wasipokee form ?
Acha uzwazwa hao std 7 waliofeli ccm wamejazana lusinde,msukuma,kishimba,jah people etc wanajua kujaza fomu kuliko wasomi wa upinzani.Vyama vya siasa vinatakiwa kutoa elimu kwa wagombea wao kwa wakati. Mtu anajaza jina lake kwenye sehemu ya tarehe ya kuzaliwa, unategemea msimamizi wa uchaguzi atafanya nini. Kama ni job interview, unategemea utaitwa tena?
2019 huo uchaguzi ulifanya wewe?meko na company yake ni utopolo ubabe wa kutumia police,madc,maded una mwisho wakePitia maelezo ya Polepole wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, CCM hairuhusu mgombea wake yoyote hata awe na Phd kurudisha fomu kabla haijapitiwa na wanasheria wa chama. Na hao wanasheria wako wengi sana, sasa niambie chama gani mbali na CCM kina utaratibu huo?
CCM ILIANDAA WANASHERIA ZAIDI YA 1200... - WEKA WAZI FIKRA ZAKO | Facebook https://www.facebook.com/
Ndio mama kuna wanasheria wa chama wanaowasaidia kuhakikisha kila fomu imekamilika. Pitia post #18Acha uzwazwa hao std 7 waliofeli ccm wamejazana lusinde,msukuma,kishimba,jah people etc wanajua kujaza fomu kuliko wasomi wa upinzani.
Ficha upumbavu wako hakuna ccm aliekosea wote magenius,
Uchaguzi huu mtataga matikiti mpka mzuti utanuke ujinga pelekeni chato
Na familia zao na watoto wao na wajukuu. Wanadhani wanaishi mbinguni.Tunayo majina yote ya wahusika
Mnalitaja jina la Mungu bure.Mungu ibariki CHADEMA.
Mmeanza kutishia maisha ya watu sasaTunayo majina yote ya wahusika
1 September 2020
Dodoma, Tanzania...
Mbona walifunga sasa ?Maelekezo yote yalishatolewa na yanajulikana kwamba kila muhusika anayehusika na kupokewa maombi ya kugombea au kutoa malalamiko awepo ofisini muda wowote. Kama kuna mtu kafanya mengine hiyo kesi nyingine na kuna utaratibu wa kurekebisha.