Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Nadhani watz hakuna budi kukuvali mapema kwamba mh kikwete ataibuka na ushindi wa sunami 2010 baada ya kuonekana mtendaji mzuri hasa huu uhuru aliotuachia.
Nadhani watz hakuna budi kukuvali mapema kwamba mh kikwete ataibuka na ushindi wa sunami 2010 baada ya kuonekana mtendaji mzuri hasa huu uhuru aliotuachia.lkn swala la wabunge kijinafasi bungeni, tunasahau BM (Benjamen) alivyoingiza management TANESCO kwa FFU nani aliethubu kuhoji na kulipeleka swala hilo bungeni? wapo wanaopinga na kuona uhuru huu eti untaokana na watz wenyewe. jee kweli watz tumefikia hivyo? naamini ni utawala huu wa kikwete ndio uliotufikisha hapa. watz wengi tulikua hatujui haki zetu tuutmie kabla ya 2016 baada ya Jk kuondoka
Tena mimi nadhani itakuwa juu ya hiyo 90%. Ki utendaji, mpaka sasa sijaona Rais yeyote wa kabla aliyempita, na Mungu kaniwezesha kuwaona na kuishi kwa siku zote walizokuwepo madarakani wote wanne na pia kidogo kabla yao.
Kikwete ni juu zaidi kwa miasili mia mingi tu. hamna cha nyerere wala mwinyi wala nkapa. wote hawampati hata robo, kwa kila kitu, kuanzia personality mpaka utendaji.
Bila shaka Rais Kikwete atashinda tena kwa kura za halali hilo linajulikana ijapokuwa kuna mizengwe ya mahuligani wa makundi fulani ,wanafanya kila jitihada za kumdhalilisha ili aonekani hafai ,lakini mkubuke bila ya kikwete msingekuwapo hapo mlipo leo, jitihada zake ndio zilizoleta hao wazungu (wahisani)kumwaga hizo pesa zinanadiwa kila siku katika magazeti ya hapa nchini,leo marekani amwagaga Dola kesho Uk amwaga £ wiki ijayo sweden amwaga korona japani yeni hazikuja wenywe hizo ni jitihada zake Rais kikwete ,leo mmekuwa waongeaji sana wa kumuandama achani mambo yenu hayo.hii ndio ile wafadhilaka wa pundaka.
They are crawling out of the woodwork now. Kuna mwingine naye kaja juzi kutuambia Kikwete anastahili pongezi kwa kutuongezea uhuru. Kazi kweeeli kweeeeliiii!
Waziri mkuu mizengo pinda na waziri wa mambo ya nje benerd membe wanaandaliwa na kanisa katoliki kuwachukua urais 2015.
Chanzo mjengwa blog.
Kanda2,
Chanzo cha hiyo habari si blog ya Mjengwa. Ni Al-Huda. Mbona hukutaka kusema hivyo?
Al-huda ni nini?Kanda2,
Chanzo cha hiyo habari si blog ya Mjengwa. Ni Al-Huda. Mbona hukutaka kusema hivyo?
Al-huda ni nini?