GE2025 Wagombea urais Zanzibar wamnadi Dkt. Mwinyi, baada ya kukabidhiwa magari ya kufanyia kampeni

GE2025 Wagombea urais Zanzibar wamnadi Dkt. Mwinyi, baada ya kukabidhiwa magari ya kufanyia kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Yani! Kupewa magari ya kisasa wanasahahu kijipambania wenyewe, wananza kumnadi mgombe urais wa CCM

Wagombea urais Zanzibar wamnadi Dkt. Mwinyi, baada ya kukabidhiwa magari ya kufanyia kampeni

 
Hizi chaguzi za mwaka huu zina vituko vingi sana! Hakuna haja ya kwenda kupiga kura wakati washindi wanajulikana wazi. Labda wasio na kazi za kufanya ndio wataenda kupiga kura. Hawa wagombea ni magumashi matupu wasipotezee wananchi muda kwenda kupiga kura wakati tayari washindi wanaonekana
 
Huu mwaka wangefanya kampenu ziwe siku 30 tu, ili tuokoe fedha aisee
 
Ningepewa uwezo wa malaika mtoa roho, ningeanza na wazee wote wa hovyo nikabakiza vijana wa genz wenye genetics za watu wa kazi wakipewa kazi wanafanya kazi sio uchawa wa kingese namna hiyo.
 
Back
Top Bottom