Hapana, ana nia njema na yuko tayari hata kujitoa muhanga sababu ya chama chake. Tatizo ni mmoja wa mamilioni ambao kwao Mbowe & Co ni sacrosanct. Mamilioni ya wanachama hawa kujikosesha fursa muhimu sana ya kuhoji yanayofanywa na uongozi ndio imetoa mwanya kwa viongozi kukiongoza chama kama taasisi binafsi na kusababisha wachache wanaoweza kuhoji kuonekana wasaliti.Wewe ni mmoja wa makamanda wasio na nia njema na Chadema.
Ukisikia mtu kafikia hatua ya kusema atakipigia kura chama chake hata kikisimamisha shati kama mgombea, count him/her out.