Uchaguzi 2020 Wagombea wa chama chetu wana hali mbaya

Wewe ni mmoja wa makamanda wasio na nia njema na Chadema.
Hapana, ana nia njema na yuko tayari hata kujitoa muhanga sababu ya chama chake. Tatizo ni mmoja wa mamilioni ambao kwao Mbowe & Co ni sacrosanct. Mamilioni ya wanachama hawa kujikosesha fursa muhimu sana ya kuhoji yanayofanywa na uongozi ndio imetoa mwanya kwa viongozi kukiongoza chama kama taasisi binafsi na kusababisha wachache wanaoweza kuhoji kuonekana wasaliti.

Ukisikia mtu kafikia hatua ya kusema atakipigia kura chama chake hata kikisimamisha shati kama mgombea, count him/her out.
 
Kwani ruzuku ya chama kwa miaka mitano iko wapi? Na yale makato ya mishahara ya wabunge kwa miaka mitano iko wapi?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kiukweli chadema ina hali mbaya sana kifedha
 
Wacha mzaha Kamanda! Huo ni ubahiri tu, mbona wana fedha za kukodi HELICOPTER? Kamanda Asiyechoka acha kutetea ubadhirifu na uharibifu wa fedha za wanachama na wabunge ndani ya CHADEMA.
 
Wacha mzaha Kamanda! Huo ni ubahiri tu, mbona wana fedha za kukodi HELICOPTER? Kamanda Asiyechoka acha kutetea ubadhirifu na uharibifu wa fedha za wanachama na wabunge ndani ya CHADEMA.
We unamuangalia Lissu tu? Huku chini madiwani na wabunge,hawana hata hela ya kukodi bajaji.
 
Fact. Majimboni (Ukitoa majimbo machache yenye wagombea wanaojitosheleza ki-rasilimali) hali ni mbaya sana. Hata haijulikani kampeni zitaanza lini.
Watakuja wenzenu kubisha hapa.
 
Mkuu hata makao makuu hamna pesa ndo maana mgombea urais anatembea na bakuli. So nashauri kuliko kukomaa na kampeni ambazo zinazidi kuwafirisi na hawana uhakika wa kushinda ni bora watandike daruga watajaribu next time wakiwa wamejipanga..
 

Sasa watu hawatoi support kwenu watawapa kura kweli,CDM mwaka huu kwisha kazi hakuna jipya.
 
Wengi wao walishachukua sh 200 milioni zimekwenda wapi?
 
Ukikosoa wewe Hufai
Muulizeni Faru John Ruzuku ipo wapi
 
KUNA WAGOMBEA DHAIFU SANA BAADHI YA MAENEO . UNASHINDWA KUTUMIA SIMU NA PAGES MBALIMBALI KUJITANGAZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…