Uchaguzi 2020 Wagombea wa chama chetu wana hali mbaya

MGOMBEA ANAWEKA PICHA YAKE HAKUNA JINA LAKE HAKUNA KAULIMBIU NADHANI CHAMA TAIFA KANDA NA MIKOA BADO HAWAJAJIPANGA INGAWA MAMBO YA BENDERA NA MABANGO SI VYEMA KUWEKA WIKI ZA MWANZO . WIKI ZA MWANZO TUTUMIE FACEBOOK ZAIDI CHAMA TAIFA KANDA MIKOA NA MAJIMBO
 
Wewe sio chadema. Tuneshakuumbua humu ila unazidi tu kuleta vi thread vyako uchwara humu!!

Kwani silinde alivyoshindaga ubunge kupitia chadema akitokea chuo kikuu alikuwaga na hela gani??? Kampeni zake zilikuwa na matumizi gani ya hela????
 
Wewe Countrywide umebadilisha ID unahangaika tu, kawadanganye wajinga wenzio.
 
Reactions: PNC
Ili Jambo lifanyiwe kazi haraka ingawa kampeni ni zaidi ya vipaza sauti unaweza kwenda nyumba mwa nyumba
Achana na mwana lumumba huyu!!! Huyo ni project ya Gwajima na polepole amejoin jana kwa mkakati maalum
 
Wewe sio chadema. Tuneshakuumbua humu ila unazidi tu kuleta vi thread vyako uchwara humu!!

Kwani silinde alivyoshindaga ubunge kupitia chadema akitokea chuo kikuu alikuwaga na hela gani??? Kampeni zake zilikuwa na matumizi gani ya hela????
Umeelewa point ya mtoa mada kweli?

Yani Mbowe anajivunia sana kuwa na watu aina yako!

Hivi hujamuwezesha mtu kwa chochote kwa ajili ya kampeni alafu unataka ashinde kwa mbinu zipi wakati hata hela ya kukodia gari ya matangazo hana?

Au unafikiri majimbo yote unaweza kuzunguka kwa baiskeli ndani ya nusu saa kama ilivyo Majimbo ya dar?
 
Wewe Countrywide umebadilisha ID unahangaika tu, kawadanganye wajinga wenzio.
Tulioko huku mitaani mtu ukimuuliza mgombea wa chadema hata majina hawajulikani.

Yani chadema sijui huu uchaguzi mnategemea mtashinda vipi?
 
[IMG alt="Kamanda Asiyechoka"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/609/609148.jpg?1600061528[/IMG]
Kamanda Asiyechoka
Member
Joined Yesterday Sep 13, 2020 at 4:42 PM
Last seen Today at 11:55 AM
 
Reactions: PNC
Wewe sio chadema. Tuneshakuumbua humu ila unazidi tu kuleta vi thread vyako uchwara humu!!

Kwani silinde alivyoshindaga ubunge kupitia chadema akitokea chuo kikuu alikuwaga na hela gani??? Kampeni zake zilikuwa na matumizi gani ya hela????
Haina tabu kamanda.
 
Watanzania hatupendi ukweli.
 
Mbowe ashakula zotee!
 
Mazingira kama haya ni rahisi sana kuruhusu kuibiwa kura kama kweli wizi wa kura upo. Uongozi wa juu umekuwa na ubinafsi sana.
Mgombea wa Chadema huku Missungwi alijitoa kwasbabu hizihizi na kuturuhusu kupita bila kupingwa.
 
Tulioko huku mitaani mtu ukimuuliza mgombea wa chadema hata majina hawajulikani.

Yani chadema sijui huu uchaguzi mnategemea mtashinda vipi?
Hawajulikani halafu mnahangaika kuwaengua bila sababu, kama hawajulikani nendeni kwenye sanduku la kura muone.
 
Reactions: PNC
Utawafikia wapigakura wangapi kwa Facebook kwa jimbo kama Tarime vijijini! Are you guys serious?!
 
Utawafikia wapigakura wangapi kwa Facebook kwa jimbo kama Tarime vijijini! Are you guys serious?!
Unawafikia wengi tu Kama upo serious . MABANGO timing yake ni wiki tatu za mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…