GE2025 Wagombea wa CHAUMMA na TLP wasikitika kuenguliwa na tume Longido

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mgombea ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Longido, Esta Mayunga, hakuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, hatua anayoieleza kuwa haikufanyika kwa haki.

Mbali na Mayunga, mwingine ambaye hakuteuliwa ni Johnson Mauma wa Chama cha TLP, ambaye naye anadai sababu zilizotolewa na tume si haziridhishi. Wote wanadai mchakato huo haukutendeka kwa haki.

Ikumbukwe jana Agosti 27, Tume Huru ndiyo ilikamilisha zoezi la uteuzi wa wagombea ambapo kwa wale waliopita katika uteuzi huo waliruhusiwa kuendelea na michakato mingine ya maandalizi ya kampeni ambazo zimeanza leo Agosti 28, 2025.

Jambo TV ilimtafuta kwa njia ya simu msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Longido ili kupata ufafanuzi kuhusiana na malalamiko hayo. Awali alieleza kuwa angerudi kujibu madai hayo baada ya muda mfupi, hata hivyo hakufanya hivyo, na juhudi za kumpata tena hazikufanikiwa kwani hakupokea simu mpaka taarifa hii inatoka.

Tuliwaambia wakilizwa huko wasije kulialia kwenye media!
 
Bado kabisa hapo.Inatakiwa waanze kutembea barabarani wanalia kwa sauti kubwa na midomo wamepanua hadi inagusana na masikio yao.
 
Mgombea ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Longido, Esta Mayunga, hakuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, hatua anayoieleza kuwa haikufanyika kwa haki.

Mbali na Mayunga, mwingine ambaye hakuteuliwa ni Johnson Mauma wa Chama cha TLP, ambaye naye anadai sababu zilizotolewa na tume si haziridhishi. Wote wanadai mchakato huo haukutendeka kwa haki.

Ikumbukwe jana Agosti 27, Tume Huru ndiyo ilikamilisha zoezi la uteuzi wa wagombea ambapo kwa wale waliopita katika uteuzi huo waliruhusiwa kuendelea na michakato mingine ya maandalizi ya kampeni ambazo zimeanza leo Agosti 28, 2025.

Jambo TV ilimtafuta kwa njia ya simu msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Longido ili kupata ufafanuzi kuhusiana na malalamiko hayo. Awali alieleza kuwa angerudi kujibu madai hayo baada ya muda mfupi, hata hivyo hakufanya hivyo, na juhudi za kumpata tena hazikufanikiwa kwani hakupokea simu mpaka taarifa hii inatoka.

Haahaa NRNE
 
Back
Top Bottom