TLS ni jina sio sentensi. Kama "Infantry Soldier". Ama?"Legal Society" na "Law Society" ipi ni sahihi katika mfumo wa sarufi?
Kuna Ukurasa facebook unaitwa Tanzania Government nikauliza humu kwamba hiyo sentensi ni sahihi kisarufi? Je, ni TANZANIA GOVERNMENT(Serikali Tanzania) au TANZANIAN GOVERNMENT(Serikali ya Tanzania)????Inawezekana mimi ndio sijui vizuri kiingereza
Tanzanian = Mtanzania?Kuna Ukurasa facebook unaitwa Tanzania Government nikauliza humu kwamba hiyo sentensi ni sahihi kisarufi? Je, ni TANZANIA GOVERNMENT(Serikali Tanzania) au TANZANIAN GOVERNMENT(Serikali ya Tanzania)????
Hapana mkuu, mawakili wa Tanzania bara ndio wajumbe, sisi tusubiri uchaguzi wa mwenyekiti wetu wa UWABATAhuo uchaguzi unafanyika ln? je na sisi raia tutawapigia Kura au?
TLS ni kifupisho cha Tanganyika Law Society...TLS ni jina sio sentensi. Kama "Infantry Soldier". Ama?
Sio lazima mtu.. hata Tanzanian musicTanzanian = Mtanzania?
Yes....sasa unaweza kusema Tanzanian Government (serikali ya kitanzania?) kama unakusudia kuzungumzia utanzania wa hiyo serikali.Sio lazima mtu.. hata Tanzanian music
Wanajiita Law society."Legal Society" na "Law Society" ipi ni sahihi katika mfumo wa sarufi?
Ngoja tufasiri kisha kila mmoja ajiongeze:"Legal Society" na "Law Society" ipi ni sahihi katika mfumo wa sarufi?
Okay mkuu...Ngoja tufasiri kisha kila mmoja ajiongeze:
'Legal society', Kiswahili= Jamii/Jumuia halali, iliyopo/inayokubalika-Kisheria.
'Law society', Kiswahili= Jamii.Jumuia ya Wanasheria/ Wanataaluma wa Sheria.
Umejitahidi kiasiNgoja tufasiri kisha kila mmoja ajiongeze:
'Legal society', Kiswahili= Jamii/Jumuia halali, iliyopo/inayokubalika-Kisheria.
'Law society', Kiswahili= Jamii.Jumuia ya Wanasheria/ Wanataaluma wa Sheria.
Nimejaribu kutafuna kwa uelewa wangu mdogo wa Kikristo changu cha St, Msondongoma praimari skuli.
Chagua sasa ipi iende wapi.
KWANGU Mimi naona sahihi ni "Tanzania legal society."Kwa TLS? Sawa nimekuelewa ngoja waje wadau wengine wanielimishe kwa muktadha zingine ipi sahihi kati la legal society na law society.
Nami niliona tangazo la "Albert Msando for president", nikauliza Sana KWA group mbona ilitakiwa iwe presidency?? Lakini nilidharaulika sababu nimeishia darasa la nane la mkoloni. Nikaambiwa msomi yupo sahihi. Lakini mi mpaka SASA napinga sio president ni presidencyNa ndio hayo hayo makosa ya kiufundi wakiyafanya mahakamani watu wanafungwa
Sometimes wasomi pia wanakosea kwa maana wao sio malaika...Nami niliona tangazo la "Albert Msando for president", nikauliza Sana KWA group mbona ilitakiwa iwe presidency?? Lakini nilidharaulika sababu nimeishia darasa la nane la mkoloni. Nikaambiwa msomi yupo sahihi.